Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Kwani bado anaenda sauzi? Nchi ngumu hii.....haya waue kwa ngoma na sembe......haponi mtu hapa.
Makalio ndiyo asset pekee aliyo nayo Masogange... Siku ikitokea yakawa flat ghafla na Agness tunampoteza kwa Mshtuko atakaoupata.....
Halafu siku hizi amekuwa Modo?!?!
Watu wanashindana mkwanja wao wanashindana makalio
Kwahiyo hicho ndo kitega uchumi chake ☜☜☜☜♧