anaitwa corazon
mcheki pale kati..
Yaan huyu ni menene tofauti na masogange, tunapoongelea shape tunamaanisha no 8 huyo Dada hapo sio 8 maana Ana tumbo na tako lake lina mabonde
Nafikiri huu ndio MUDA sahihi wa KUTUMIA hizi shepu za hawa WADADA kuongeza PATO la TAIFA..!Basi anagenerate foreign exchange kwa nchi
mcheki tena pale , hapa amegoma kwenda.. kampige na fimbo size ya mguu wa mtoto. teh tehdaaaaahhh
yaachie yaliwe mkuu unakalia uchumi teh teh..Matako ndo uzuri kwani ? Hata mm ninayo nakalia mbona
Bora umesema kaka, sometimes kutokujitambua, after all beauty are all together in the eyes of beholders.Hivi shepu nzuri ni kuwa na matako makubwa tepetepe? Na kufanyiwa kabisa mashindano? Utu wa mwanamke uko wapi hapa?staha zake kama binadamu tinaziweka wapi?
Kwanini wanawake wenyewe baadhi yao wanakuwa ndio kichokoo cha haya yote?
miner shape haina uwianoView attachment 390889
Huyu minerspatan ndiye nayemkubari sura anayo, tako analo standard, hips standard
anaitwa corazon
mcheki pale kati..
weeehView attachment 390854View attachment 390856
Huyo ndo vera ila naona vera Hana tako Bali Ana hips ila yuko vizr na yeye
Weka mapicha tuone mkuu ila kama wanatumia mchina bas huyo ndo mama laoMkuu kuna utofauti wa kitu na natural na artificial. Masogange kaongezea ukubwa wa tako na tumbo katumia madawa kuliondoa. Sasa uyu Lilly yeye ni natural ndio maana unaona yuko hivyo. Vera mwenyewe katumia madawa,nikikuletea picha yake utoamini Kama ndio yeye sasa hivi.
Nan huyuView attachment 390889
Huyu minerspatan ndiye nayemkubari sura anayo, tako analo standard, hips standard
Anaitwa miner spatan yuko close sana n maceleb wa kibongo yeye na bwanake dullar spartan.Nan huyu
Duuuh simjuiAnaitwa miner spatan yuko close sana n maceleb wa kibongo yeye na bwanake dullar spartan.
Weka mapicha tuone mkuu ila kama wanatumia mchina bas huyo ndo mama lao