Masogange aongoza kwa shepu nzuri A/Mashariki, Vera Sidika chalii

Hivi shepu nzuri ni kuwa na matako makubwa tepetepe? Na kufanyiwa kabisa mashindano? Utu wa mwanamke uko wapi hapa?staha zake kama binadamu tinaziweka wapi?
Kwanini wanawake wenyewe baadhi yao wanakuwa ndio kichokoo cha haya yote?

Mshana!!!!!
Nimekumbushwa mbali sana kipindi hicho uzuri ukiwa kweli ni uzuri..not now every thing is made in china!! even papuchi
jikumbushe nawe! DDC Mlimani Park Uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabiaa..
Nyimbo hizo zilinisaidia kupata mke mzuri wa tabia.....
 
Vera ana sura nzito Mungu nisamehe na shape lake limezidi had linapoteza uhalia anakuwa ka wakuçhonga.
Binamu hapana,nilimuona vera juzi kwenye TV, ni mzuri sana Wa sura na shepu, tofauti na anavyoonekana kwenye picha za Instagram, vera ni kisu na anaonekana ana roho nzuri,yan yupo tofauti na anavyoonekana Instagram, nimemkubal sana,sijawah kumkubali vera ila toka nimuone juz duh vera kiboko yao
 
Binamu vera kiboko nakwambia, huwa namuonaga insta tu ila juzi nimemuona kwenye TV duh hatar, masogange anangoja

Wewe unamuonaga Vera kwenye tivii ila mimi nishamuonaga Masogange kwa macho yangu.

She is beautiful. There are no two ways about it.
 
Vera anajua kujiuza na Ku date classy people nadhani shule INA msaidia tofauti na kina masogange hata pakukaa tu ni shida, Vera ana nyumba ya hatari.
Vera anakaa sehemu inaitwa kareni Nairobi, huko wanakaa watu wenye pesa zao ,ni kama masaki au oyster bay kwa huko kwetu, yule mwanamke ni shidaa,ana pesa na ana akili kichwani na anajielewa,nimesikiliza baadhi ya interview zake dah yupo tofauti na watu wanavyomsema vera, yan nimetokea kumkubali sana
 
Wewe unamuonaga Vera kwenye tivii ila mimi nishamuonaga Masogange kwa macho yangu.

She is beautiful. There are no two ways about it.
Ungemuona na vera live ndo ungeniambia binamu, masogange haingii kwa vera, yani kamzidi kila kitu
 
Ungemuona na vera live ndo ungeniambia binamu, masogange haingii kwa vera, yani kamzidi kila kitu
Nimeona vera before na vera after...amejichubua mnoo...sio rangi yake ile..ni chemicals..hapo nimemshusha sana.
 
vera sidika ni mkali zaid ya masogange mara bilion mbili
Hilo gazeti waliotoa hiyo tafiti, waliweka kigezo cha mwili wa asili usiotengenezwa kwa kemikali au upasuaji wowote
Asa Vera kuanzia maziwa mpaka makalio to unyayk ni fake
 
Unazungumzia msichana mwenye shepu nzuri miongoni mwa wasanii au wasichana wote Afrika mashariki?,maanake hapa mtaani kwetu kuna binti sura ndhuuuuri,booooonge la shepu,kalio la kutosha lenye vibration flani hivi ile Singida -Dodoma,yeye mwenyewe huwa anatuonea huruma sana vijana tunaomwangalia,anatuambiaga "najua mnaumia sana ila sina la kufanya" naaamini namba moja mpaka tisa anashika yeye then Agness anafatia.
 
Tuache utani yuko vzr ingawa ctaki kuamin kama anaongoza afrika masharki yani amzidi lara 1, nifah, preta na faiza haiwezekan
 
Kweli naona matako ndo mtaji siku hizi madada zetu hawaitaji kuwa na akili ili kufanikiwa ni matako tu yanatosha.
Complements to the nerds of silicon valley.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…