Masogange, Davido ndani ya "PENZI" zito

Habari ya mjini sasa ni Lowasa na Mafuriko,umbeya utarudi 26/10.

Sitowaangusha hahaha

Ahahha duh mmetisha..bado mna ndoto za kuingia ikulu tu?? Nyie mshakatwa aiseeh hamna jipya
 
Uongo tu mimi wala siamini.Davido star wa dunia kakosa watoto wakalia hadi atoke na popoma masogange?
Thou nae ni mkali ila kwa hadhi ya Davido hapana aisee.

Haaaah me cto shangaa Kama aliweza kutoka na yule msanii na producer techno miles wa Nigeria hata kwa davido haitokuwa maajabu sana
 

Sasa ivi tuko busy na kumwondoa mkoloni mweusi CCM hizi mada kama hizi tutazirudia baada Oct 25!!
 
Haaaah me cto shangaa Kama aliweza kutoka na yule msanii na producer techno miles wa Nigeria hata kwa davido haitokuwa maajabu sana

Inawezekana lakin, masogange kaumbika yule na ni rahis kumshawishi mwanaume yeyote ndan na nje ya nchi ,shepu tu kabarikiwa kazi kwa dada zangu akina mwafulan wenye sura nzito kama fenes shepu hawana wao wakazane tu kusoma wawe akina anna makinda, madanga ya maana wawaachie akina lulu na masogange watanue
 
Kumbe kaacha ndo maana siku hizi havai ki-tom boy asavali
maandalizi ya kuingia ndoani japo wanga washampandia ungo wolper wa watu
pole zake

Binamu eti riziwan anataka namba yako nimpe? Toka jana ananisumbua akii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…