Sio maajabu hata kidogo.Ivi kuna maajabu kuzidi Yale ya mtu kupigwa risasi 38 lkn bado akaendelea kupumua?Haya ni maajabu
Hatari sanaSio maajabu hata kidogo.Ivi kuna maajabu kuzidi Yale ya mtu kupigwa risasi 38 lkn bado akaendelea kupumua?
Kwani ulimpiga risasi ngapi?Sio maajabu hata kidogo.Ivi kuna maajabu kuzidi Yale ya mtu kupigwa risasi 38 lkn bado akaendelea kupumua?
Uweke vizuri, Rahabu alibadilika baada ya kuokolewa na wale wapelelezi kabla mji alimokuwemo wa Yeriko haujapigwa. Akawa miongoni mwa kundi la kina Yoshua. Hapo ndipo mpango wa Mungu uliendelea akiwa tayari nje ya ukahaba havikwenda pamoja.Si ajabu. Mungu akitaka kukutumia anakutoa kutoka sehem yeyote. Walikuwepo kina Rahabu katika biblia, walikuwa ni makahaba lakini walikuwa ni wabeba maono wa Mungu.
Kama anasikia wito wa namna hiyo mimi namuombea Mungu atimize mapenzi yake
Asomaye na afahamu! Rahabu alitimiza ile kazi akiwa ktk hali ya ukahaba!Uweke vizuri, Rahabu alibadilika baada ya kuokolewa na wale wapelelezi kabla mji alimokuwemo wa Yeriko haujapigwa. Akawa miongoni mwa kundi la kina Yoshua. Hapo ndipo mpango wa Mungu uliendelea akiwa tayari nje ya ukahaba havikwenda pamoja.
Hakika wanena vyema mtu wa munguSi ajabu. Mungu akitaka kukutumia anakutoa kutoka sehem yeyote. Walikuwepo kina Rahabu katika biblia, walikuwa ni makahaba lakini walikuwa ni wabeba maono wa Mungu.
Kama anasikia wito wa namna hiyo mimi namuombea Mungu atimize mapenzi yake