Masogange: Nataka kuwa mchungaji

Masogange: Nataka kuwa mchungaji

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa hili pendwa

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Yule dada muuza nyago ambaye anaumbo tata la kimahaba amedai yeye kwa sasa hafikirii tena uigizaji maana lengo lake ni kuwa mchungaji mkubwa dunian

maso.jpeg

Masoganhe ameshawahi shiriki kama video Queen kwenye video kibao kama masogange yake bell 9

Kumbuka kwa sasa mrembo huyu anakabiliwa na kes ya utumiaji wa madawa ya kulevya

Hakika kama huyu binti akiwa mchungaj bas na yesu atarud

LONDON BABY
 
Hata chid benz alisema atafanya ngoma na Jay Z

Madawa hayajawahi kumuacha mtu salama
 
Si ajabu. Mungu akitaka kukutumia anakutoa kutoka sehem yeyote. Walikuwepo kina Rahabu katika biblia, walikuwa ni makahaba lakini walikuwa ni wabeba maono wa Mungu.
Kama anasikia wito wa namna hiyo mimi namuombea Mungu atimize mapenzi yake
Uweke vizuri, Rahabu alibadilika baada ya kuokolewa na wale wapelelezi kabla mji alimokuwemo wa Yeriko haujapigwa. Akawa miongoni mwa kundi la kina Yoshua. Hapo ndipo mpango wa Mungu uliendelea akiwa tayari nje ya ukahaba havikwenda pamoja.
 
Asomaye na afahamu! Rahabu alitimiza ile kazi akiwa ktk hali ya ukahaba!
 
matako yashalegea sasa ndio anataka kuwa mchungaji
 
Si ajabu. Mungu akitaka kukutumia anakutoa kutoka sehem yeyote. Walikuwepo kina Rahabu katika biblia, walikuwa ni makahaba lakini walikuwa ni wabeba maono wa Mungu.
Kama anasikia wito wa namna hiyo mimi namuombea Mungu atimize mapenzi yake
Hakika wanena vyema mtu wa mungu
 
Back
Top Bottom