Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, the life we are living, God has a script. Katika ulimwengu wa kiroho, destiny ya rahabu meant be so.. Kulikuwa kuna maana kubwa sana kwa wale wapelelezi kuonana na Rahabu na si mtu mwingine yeyote ili andiko litimie. Rahabu kuonana na wale wapelelezi haikuwa bahati mbaya.Uweke vizuri, Rahabu alibadilika baada ya kuokolewa na wale wapelelezi kabla mji alimokuwemo wa Yeriko haujapigwa. Akawa miongoni mwa kundi la kina Yoshua. Hapo ndipo mpango wa Mungu uliendelea akiwa tayari nje ya ukahaba havikwenda pamoja.
Hata mimi..Ila nitaenda mbali zaidi, nataka kumhudumia dada mchungaji kwa roho na mwili!Mimi nitapenda kuwa baba mchungaji wake
But people change madame, na hata yeye Yesu alisema kwamba alikuja na kuteswa na hata Kufa, kisha kufufuka kwa ajili ya wale ambao wamepotea... So to me naona kama hakuna Muda muafaka mbele yake Masogange aka Agnes muafaka wa kutambua imani yake na uwepo wa Mungu maishani mwetu / mwake kama sasa...Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa hili pendwa
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Yule dada muuza nyago ambaye anaumbo tata la kimahaba amedai yeye kwa sasa hafikirii tena uigizaji maana lengo lake ni kuwa mchungaji mkubwa dunian
View attachment 589377
Masoganhe ameshawahi shiriki kama video Queen kwenye video kibao kama masogange yake bell 9
Kumbuka kwa sasa mrembo huyu anakabiliwa na kes ya utumiaji wa madawa ya kulevya
Hakika kama huyu binti akiwa mchungaj bas na yesu atarud
LONDON BABY
AminaBaadaye Rahabu aliacha kazi yake ile na ndipo akawa mtu wa Mungu. soma Yoshua 6: 22-25
"22 Naye Yoshua akawaambia wale wanaume wawili walioipeleleza nchi, Ingieni katika nyumba ya yule kahaba, mkamtoe huyo mwanamke mwenyewe na vitu vyote alivyo navyo, kama mlivyomwapia.
23 Basi wale vijana wapelelezi wakaingia, wakamtoa Rahabu, na baba yake, na mama yake, na ndugu zake, na vitu vyote walivyokuwa navyo, wakawatoa na jamaa zake wote pia; wakawaweka nje ya matuo ya Israeli.
24 Kisha wakauteketeza mji kwa moto, na vitu vyote vilivyokuwa ndani yake; bali fedha, na dhahabu, na vyombo vya shaba, na vya chuma, wakavitia katika hazina ya nyumba ya BWANA.
25 Lakini Yoshua akamhifadhi Rahabu, yule kahaba, na watu wa nyumba ya baba yake, na vitu vyote alivyokuwa navyo; naye akakaa kati ya Israeli hata leo; kwa sababu aliwaficha wale wajumbe aliowatuma Yoshua ili kuupeleleza mji
Mkuu, the life we are living, God has a script. Katika ulimwengu wa kiroho, destiny ya rahabu meant be so.. Kulikuwa kuna maana kubwa sana kwa wale wapelelezi kuonana na Rahabu na si mtu mwingine yeyote ili andiko litimie. Rahabu kuonana na wale wapelelezi haikuwa bahati mbaya.
Wale wapelelezi kitu pekee walichofanya ni kumuweka Rahabu kahaba katika njia sahihi lakini hata kabla alibeba kitu cha Mungu.
Kiufupi, kuokoka siko kuliko mfanya kuwa mbeba maono. Mungu aliweka kitu ndani yake toka akiwa kahaba ispokuwa kuonekana kwa icho kitu kulikuja baada ya huko ulikosema kuokolewa.
Naruhusu kukosolewa. Asante mkuu
Asante nimekuelewa ila maana ya yangu ya kuokolewa ni "kuokolewa kutoka kifo vitani Yeriko ilipokuwa ikiteketea." Sikufika Kwenye ule wokovu tunaouelewa. Hata hivyo Rahabu ili aendelee kukaa Katika Mpango wa Mungu alitenganishwa na tabia yake. Asingeendelea na kazi yake ile na bado kupata haki mbele za Mungu. Abrahamu naye alitolewa kutoka miungu ya ngambo ya mto miungu ya kwao na kufanywa "Rafiki ya Mungu".
Huyo mnayemtaja anaweza kumtumikia Mungu hata Kama si Mchungaji lakini sharti maisha yake ya awali ikiwa hayakuwa yakimpendeza Mungu atayaacha.
Ndo maana sishangai masongange kuwa mchungaji. FURSA!Ndio mkuu tena ana kanisa
Sawa kabisa inafaa sana kukumbushana kidogo Biblia. Nami nimejifunza kitu hapo. Asante.Nimekuelewa Mkuu. Na hatimaye hakuwa "Abrahamu" tena na akawa anaitwa "Ibrahim", Baba wa Imani. Asante kwa chakula hiki.
Inabidi kwenye jukwaa la dini kule ianzishwe bible study session.
Haya ni maajabu
Sidhani kama anafaa na maskendo yote yale leo hii awe mchungaji?? hii ngumu kumeza mkuuKwanini mkuu wakati mwenzako ana taka kumutumikia bwana