Masogange: Nataka kuwa mchungaji

Masogange: Nataka kuwa mchungaji

Sio maajabu hata kidogo.Ivi kuna maajabu kuzidi Yale ya mtu kupigwa risasi 38 lkn bado akaendelea kupumua?
Aisee mkuu usiongee habari za lisasi unakumbusha watu machungu ambayo yashapoa
 
Uweke vizuri, Rahabu alibadilika baada ya kuokolewa na wale wapelelezi kabla mji alimokuwemo wa Yeriko haujapigwa. Akawa miongoni mwa kundi la kina Yoshua. Hapo ndipo mpango wa Mungu uliendelea akiwa tayari nje ya ukahaba havikwenda pamoja.
Mkuu, the life we are living, God has a script. Katika ulimwengu wa kiroho, destiny ya rahabu meant be so.. Kulikuwa kuna maana kubwa sana kwa wale wapelelezi kuonana na Rahabu na si mtu mwingine yeyote ili andiko litimie. Rahabu kuonana na wale wapelelezi haikuwa bahati mbaya.
Wale wapelelezi kitu pekee walichofanya ni kumuweka Rahabu kahaba katika njia sahihi lakini hata kabla alibeba kitu cha Mungu.

Kiufupi, kuokoka siko kuliko mfanya kuwa mbeba maono. Mungu aliweka kitu ndani yake toka akiwa kahaba ispokuwa kuonekana kwa icho kitu kulikuja baada ya huko ulikosema kuokolewa.

Naruhusu kukosolewa. Asante mkuu
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa hili pendwa

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Yule dada muuza nyago ambaye anaumbo tata la kimahaba amedai yeye kwa sasa hafikirii tena uigizaji maana lengo lake ni kuwa mchungaji mkubwa dunian

View attachment 589377

Masoganhe ameshawahi shiriki kama video Queen kwenye video kibao kama masogange yake bell 9

Kumbuka kwa sasa mrembo huyu anakabiliwa na kes ya utumiaji wa madawa ya kulevya

Hakika kama huyu binti akiwa mchungaj bas na yesu atarud

LONDON BABY
But people change madame, na hata yeye Yesu alisema kwamba alikuja na kuteswa na hata Kufa, kisha kufufuka kwa ajili ya wale ambao wamepotea... So to me naona kama hakuna Muda muafaka mbele yake Masogange aka Agnes muafaka wa kutambua imani yake na uwepo wa Mungu maishani mwetu / mwake kama sasa...

Kama ulivyosema kwamba anakabiliwa na kesi na hapo nyuma ameshapita kwenye Milima & Mabonde kadha wa kadha....so binafsi nitampongeza sana kama akiweza kufanikisha hilo la kujiweka karibu na Mzee aka Mungu.

Ila that's just me y'all,
Sijui wengine wanafikiriaje juu
Ya hiyo taarifa hapo.

•| Thanks for sharing. [emoji7]
 
Baadaye Rahabu aliacha kazi yake ile na ndipo akawa mtu wa Mungu. soma Yoshua 6: 22-25

"22 Naye Yoshua akawaambia wale wanaume wawili walioipeleleza nchi, Ingieni katika nyumba ya yule kahaba, mkamtoe huyo mwanamke mwenyewe na vitu vyote alivyo navyo, kama mlivyomwapia.

23 Basi wale vijana wapelelezi wakaingia, wakamtoa Rahabu, na baba yake, na mama yake, na ndugu zake, na vitu vyote walivyokuwa navyo, wakawatoa na jamaa zake wote pia; wakawaweka nje ya matuo ya Israeli.

24 Kisha wakauteketeza mji kwa moto, na vitu vyote vilivyokuwa ndani yake; bali fedha, na dhahabu, na vyombo vya shaba, na vya chuma, wakavitia katika hazina ya nyumba ya BWANA.

25 Lakini Yoshua akamhifadhi Rahabu, yule kahaba, na watu wa nyumba ya baba yake, na vitu vyote alivyokuwa navyo; naye akakaa kati ya Israeli hata leo; kwa sababu aliwaficha wale wajumbe aliowatuma Yoshua ili kuupeleleza mji
 
Amina
 
Mkuu, the life we are living, God has a script. Katika ulimwengu wa kiroho, destiny ya rahabu meant be so.. Kulikuwa kuna maana kubwa sana kwa wale wapelelezi kuonana na Rahabu na si mtu mwingine yeyote ili andiko litimie. Rahabu kuonana na wale wapelelezi haikuwa bahati mbaya.
Wale wapelelezi kitu pekee walichofanya ni kumuweka Rahabu kahaba katika njia sahihi lakini hata kabla alibeba kitu cha Mungu.

Kiufupi, kuokoka siko kuliko mfanya kuwa mbeba maono. Mungu aliweka kitu ndani yake toka akiwa kahaba ispokuwa kuonekana kwa icho kitu kulikuja baada ya huko ulikosema kuokolewa.

Naruhusu kukosolewa. Asante mkuu

Asante nimekuelewa ila maana ya yangu ya kuokolewa ni "kuokolewa kutoka kifo vitani Yeriko ilipokuwa ikiteketea." Sikufika Kwenye ule wokovu tunaouelewa. Hata hivyo Rahabu ili aendelee kukaa Katika Mpango wa Mungu alitenganishwa na tabia yake. Asingeendelea na kazi yake ile na bado kupata haki mbele za Mungu. Abrahamu naye alitolewa kutoka miungu ya ngambo ya mto miungu ya kwao na kufanywa "Rafiki ya Mungu".
Huyo mnayemtaja anaweza kumtumikia Mungu hata Kama si Mchungaji lakini sharti maisha yake ya awali ikiwa hayakuwa yakimpendeza Mungu atayaacha.
 
Nimekuelewa Mkuu. Na hatimaye hakuwa "Abrahamu" tena na akawa anaitwa "Ibrahim", Baba wa Imani. Asante kwa chakula hiki.

Inabidi kwenye jukwaa la dini kule ianzishwe bible study session.
 
Sawa kabisa inafaa sana kukumbushana kidogo Biblia. Nami nimejifunza kitu hapo. Asante.
 
Back
Top Bottom