Masoko ya hisa Marekani yaporomoka kwa kasi, karibu $2 trillion zapotea ndani ya siku moja. Ona alichofanya mkongwe Warren Buffet

Nakumbuka utamu wa USD wakati ule wa Trump, Just a single tweet yake inabadilisha kabisa muelekeo wa Soko, namuombea Trump awe tena Rais wa US , najua USD itakuwa stable na ni rahisi kunufaika na Forex exchange maana hata yeye ni trader mzuri tu
 
US uchumi wake ni artificial sana, imagine hiyo 10tr ni industry ya afya pekee.....
 
Aisee, Tech Company zimeongoza kuumia, sometimes unaweza kufikiri Kuna vitu kama ni viini macho vile...BlackRock na Vanguard Hali zao zitakuwa zikoje?
blackrock na vanguard wanamiliki almost kila sekta ya kiuchumi ya US, hawa hawawezi kuumia kirahisi.....

si unaona defence industry inavyokula mabilioni kupitia ukraine? huko kote humkosi vanguard na blackrock......
 
Labda amri itoke juu peke yake. VInginevyo mnajidanganya mno kwamba Marekani itashuka kisa propaganda aisee.
Hata kipindi cha Roman empire watu walionekana wehu Kwa kutabiri kua Roma itakuja kuanguka
Kawaida hiyo mkuu
Waliosema ni situation is permanent hawakukurupuka
 
Hata kipindi cha Roman empire watu walionekana wehu Kwa kutabiri kua Roma itakuja kuanguka
Kawaida hiyo mkuu
Waliosema ni situation is permanent hawakukurupuka
Kwani mi nimekataa kwamba haiwezekani? Nimesema amri itoke juu. Wakati na Nyakati ikifika amri huwa inatoka ikiwa na maelekezo Nini Cha kufanya. Ila kumbuka Rome stood for more than eight centuries. Visigoths were the first to break and sack Rome after 800 since it's foundation was laid down.
 
Hebu imagine
BlackRock na vanguard
blackrock na vanguard wanamiliki almost kila sekta ya kiuchumi ya US, hawa hawawezi kuumia kirahisi.....

si unaona defence industry inavyokula mabilioni kupitia ukraine? huko kote humkosi vanguard na blackrock......
Yeah !
Haya majamaa ndio mastermind wenyewe wa uchumi wa Marekani , haya makampuni biashara yao ni kumanage na kuhodhii hisa za katika makampuni pale US na si US Tu , washenzi wapo kila kona ya dunia ,
Ndio maana kuna financial analyst mmoja aliwahi sema BlackRock na vanguard ni kama dictators WA makampuni binafsi ,maa wao ndio wawekezaji wakubwa so kwa kiasi kikubwa financial flow inapitia kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…