Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee, Tech Company zimeongoza kuumia, sometimes unaweza kufikiri Kuna vitu kama ni viini macho vile...BlackRock na Vanguard Hali zao zitakuwa zikoje?
Hahahah kumbe jana Gold imekuwa tamuJana mtu aliysell gold kwa mtaji wa $50 tu lot 0.1 alipiga $1000 hivi
US uchumi wake ni artificial sana, imagine hiyo 10tr ni industry ya afya pekee.....Sema health service za Marekani zipo so screwed. Haiwezekani gharama za dawa ni aghali vile wakati research nyingi zinafanyikia kwenye vyuo vya umma ambavyo tayari serikali inatoa ruzuku za kutosha au kwenye taasisi zenye mrengo wa umma kama National Institute of Allergy and infection diseases. Ni uzandiki mkubwa kwa bei za hospitali na dawa zinavyouzwa. Sema ni 10 US Trillion dollar industry hivyo kuivunja ni kazi kubwa mno.
blackrock na vanguard wanamiliki almost kila sekta ya kiuchumi ya US, hawa hawawezi kuumia kirahisi.....Aisee, Tech Company zimeongoza kuumia, sometimes unaweza kufikiri Kuna vitu kama ni viini macho vile...BlackRock na Vanguard Hali zao zitakuwa zikoje?
Hata kipindi cha Roman empire watu walionekana wehu Kwa kutabiri kua Roma itakuja kuangukaLabda amri itoke juu peke yake. VInginevyo mnajidanganya mno kwamba Marekani itashuka kisa propaganda aisee.
Kwani mi nimekataa kwamba haiwezekani? Nimesema amri itoke juu. Wakati na Nyakati ikifika amri huwa inatoka ikiwa na maelekezo Nini Cha kufanya. Ila kumbuka Rome stood for more than eight centuries. Visigoths were the first to break and sack Rome after 800 since it's foundation was laid down.Hata kipindi cha Roman empire watu walionekana wehu Kwa kutabiri kua Roma itakuja kuanguka
Kawaida hiyo mkuu
Waliosema ni situation is permanent hawakukurupuka
BlackRock na vanguardHebu imagine
Yeah !blackrock na vanguard wanamiliki almost kila sekta ya kiuchumi ya US, hawa hawawezi kuumia kirahisi.....
si unaona defence industry inavyokula mabilioni kupitia ukraine? huko kote humkosi vanguard na blackrock......