PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Upo sahihi na ndicho nilicho maanisha. China hawajaanza innovations leo pia ikumbukwe ni miongoni mwa jamii za kaleIla hamna App au IT devices yoyote ile ambayo haina backdoor.Kitendo cha kitumia hizi App,IT devices au tech yoyote ya IT basi kaa ukijua, nchi ambayo hiyo tech inatoka vyombo vyao vya usalama wana access na hiyo App or IT devices through backdoor.
China research center anazo nyingi sana,sawa anaweza asiwe mvumbuzi ila kwenye innovation China wapo vizuri sana. China kuna baadhi ya nchi walikuwa hawa muamini ila now China anauza magari kwa baadhi ya nchi za Ulaya,si hivyo kuna project za kujenga miundombinu za baadhi ya nchi za Ulaya China ndiye anaye tengeneza.