Masoko ya hisa ya Marekani yapoteza karibu Dola 1.2 Trilioni kwa ujio wa DeepSeek, Makampuni makubwa ya AI yaanza kuhaha

Masoko ya hisa ya Marekani yapoteza karibu Dola 1.2 Trilioni kwa ujio wa DeepSeek, Makampuni makubwa ya AI yaanza kuhaha

Ila hamna App au IT devices yoyote ile ambayo haina backdoor.Kitendo cha kitumia hizi App,IT devices au tech yoyote ya IT basi kaa ukijua, nchi ambayo hiyo tech inatoka vyombo vyao vya usalama wana access na hiyo App or IT devices through backdoor.

China research center anazo nyingi sana,sawa anaweza asiwe mvumbuzi ila kwenye innovation China wapo vizuri sana. China kuna baadhi ya nchi walikuwa hawa muamini ila now China anauza magari kwa baadhi ya nchi za Ulaya,si hivyo kuna project za kujenga miundombinu za baadhi ya nchi za Ulaya China ndiye anaye tengeneza.
Upo sahihi na ndicho nilicho maanisha. China hawajaanza innovations leo pia ikumbukwe ni miongoni mwa jamii za kale
 
Ukisoma kwa mahaba ni sahihi kuongea hivyo. Ukweli ni kwamba te real game changer ni yule aliyeianzisha. Tofauti ya hicho unachoita 'Game Changer' ni gharama tu. Hayo mengine huenda watu walitaka kutengeneza faida kwanza kabla ya kuleta hicho kilicholetwa. Haimaanishi kwamba wao hawana uwezo wa kufanya hicho.
DeepSeek outperforms US entire AI industry

Hata Wamarekani wenyewe wamekiri ni wewe tu ndiye unayebisha

Umeona walichosema kampuni ya Kimarekani NVIDIA kuhusu DeepSeek? Unawabishia na hao?
 
China hafanyi copy and paste kama mnavyosema.

For many decades China ilishawekeza sana kwenye sci-tech, STEM, skilled personnel, na R&D

Na hii imefanya ecosystem ya innovation ya China kuwa ya hali ya juu hata kuyazidi mataifa ya Magharibi

Maendeleo ya kiteknolojia na kisayansi sio an overnight process ni mchakato wa miaka mingi. Kama unaona Mchina anacopy na wewe fanya hvyo tuone

Kuna mengi ya kujifunza kutoka China
Watengeneze na chips zao wachane na NVIDia
 
Back
Top Bottom