Masomo matatu Advance hayana mana.

Masomo matatu Advance hayana mana.

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,126
mfumo wa elimu yetu ya tanzania unatambua masomo matatu kwa kila combination.
mfumo wa kujiunga chuo kikuu unataka ufaulu wa masomo mawili tu.
Vitivo vyuo vikuu vinataka masomo mawili tu.
KWA NINI MWANAFUNZI ABEBESHWE MZIGO WA SOMO LA TATU???
hata kama lina umhimu wake lakini bado sijashawishika.
Mfano:
1.PCB,physics ni ya kazi gani mpaka mwanafunzi wa PCB alazimike kusoma physics yote,natambua kuwa kuna application ya physics kwa mwanafunzi anaesoma udakitari na fani zingine za kitabibu LAKINI INGEPASWA mwanafunzi wa PCB asome CB+basic applied physics kwa matumizi ya lazima tu.
2.PCM ilipaswa iwe PM+basic applied chemistry.
HUWEZI KUNISHAWISHI kuwa chemistry ya mtu anaetaka kuwa dakitari(PCB-physics haihitajiki sana) eti ifanane na chemistry ya mtu anaetaka kuwa injinia-with exclusion of engineering from BIOLOGY and CHEMISTRY(PCM-chemistry haihitajiki sana)
mifano inatosha.
Pia physics ya PCB= physics ya PCM.
MASOMO MAWILI YANATOSHA na kasomo kadogo ka tatu kwa matumizi madogo.

PIA MFUMO WETU UNATUWEKA ZAIDI SHULENI KIASI KWAMBA KWA KAWAIDA MWENYE MIAKA 18 ANATAKIWA KUWA FORM FOUR WAKATI KWA MFANO MDOGO WA UINGELEZA MWENYE MIAKA 18 YUKO CHUO KIKUU.

NB:KENYA HATA HIYO ADVANCE HAWANA NA WANAPETA TUUUUUUUUUUUUU NA WANATUZIDI SISI TUNAONG'ANGANIA MISOMO KIBAO YA ADVANCE NA HATA HIYO O LEVEL YAO NI KAMA YA KWETU TU KWA KIASI KIKUBWA SANA,kwa nini wao wanaweza na wameweza.LAZIMA TUANZE KUFIKIRIA TOFAUTI TUONDOKE KWENYE AKILI MGANDO NA KING'ANG'ANIZI
NIMEAMUA KUONGEZA MAKUSUDI MAELEZO HAYA KWA SABABU YA HOJA MOJA HAPO CHINI

Higher education
Main article: Universities in the United Kingdom
Students normally enter university from age 18 onwards, and study for an academic degree. Historically, all undergraduate education outside the private University of Buckingham and BPP University College was largely state-financed, with a small contribution from top-up fees, however fees of up to £9,000 per annum have been charged from October 2012. There is a distinct hierarchy among universities, with the Russell Group containing most of the country's more prestigious, research-led and research-focused universities. The state does not control university syllabuses, but it does influence admission procedures through the Office for Fair Access (OfFA), which approves and monitors access agreements to safeguard and promote fair access to higher education. Unlike most degrees, the state still has control over teacher training courses, and uses its Ofsted inspectors to maintain standards.[SUP][33][/SUP]

The typical first degree offered at English universities is the bachelor's degree, and usually lasts for three years. Many institutions now offer an undergraduate master's degree as a first degree, which typically lasts for four years. During a first degree students are known as undergraduates. The difference in fees between undergraduate and traditional postgraduate master's degrees (and the possibility of securing LEA funding for the former) makes taking an undergraduate master's degree as a first degree a more attractive option, although the novelty of undergraduate master's degrees means that the relative educational merit of the two is currently unclear.
Some universities offer a vocationally based foundation degree, typically two years in length for those students who hope to continue on to a first degree but wish to remain in employment.
Postgraduate education

Students who have completed a first degree are eligible to undertake a postgraduate degree, which might be a:

  • Master's degree (typically taken in one year, though research-based master's degrees may last for two)
  • Doctorate (typically taken in three years)
Postgraduate education is not automatically financed by the state, and so admissions are highly competitive.
 
Kichwa ni elastic bwana Mshinga,tunatakiwa kukijaza kwa kiwango kikubwa,Tukikubaliana kusoma tu masomo mawili utakuja kukataa pia Anatomy isisomwe na MDs ambao lengo lao ni kuja ku-specialize kwenye Neurology!
 
kwahiyo ww unatakaje mayb anzisha basi shule zako na mitahala yako uwe unafundsha somo hata moja kwa advance
 
Kichwa ni elastic bwana Mshinga,tunatakiwa kukijaza kwa kiwango kikubwa,Tukikubaliana kusoma tu masomo mawili utakuja kukataa pia Anatomy isisomwe na MDs ambao lengo lao ni kuja ku-specialize kwenye Neurology!

Wazungu ndo wanatushinda hapa.
Mtu anakubali kuspecialize mapema na anajua kweli kuhusu fani yake,sisi na tamaa ya fisi unataka ujue walau kidogo japo hutakifanyia kazi mana wataalamu wake watakuwepo,na wewe unakuwa unajua kidogo tu wakati muda mwingine uliupoteza kwenye somo ambalo lina wataalamu wake.
 
kwan nan kakwambia kila anayesoma PCB huwa daktari au atasoma mambo yanayohusiana na afya?na co lazma mtu aliyesoma PCM awe engineer...fikiria kabla ya kusema na soma sana kabla ya kufikiri.
 
Masomo matatu yanatoa flexibility zaidi.
flexibility ni wewe mwenyewe si masomo.
Ukiamua kubadilisha masomo sawa hakuna shida.
Ama ulimaanisha diversification?Kama ndivyo
masomo mawili yana fani nyingi mno na utajichagulia moja tu,na halafu unapaswa kujua malengo yako ni kusomea fani ipi.
Ama ulimaanifa precaution in case ukafeli somo moja?Kama ndivyo.
Jua kuwa kufeli ni sehemu ya matokeo na hata ukiwa na matatu unaweza kufeli mawili pia.
 
kwan nan kakwambia kila anayesoma PCB huwa daktari au atasoma mambo yanayohusiana na afya?na co lazma mtu aliyesoma PCM awe engineer...fikiria kabla ya kusema na soma sana kabla ya kufikiri.

Jibu hoja ya msingi.
Ulitaka nikuorodheshee fucults zote za PCB na PCM?Baada ungeuliza na kombi zingine,hoja yangu ilikuwa ili uende chuo unaihitaji masomo mawili tu.SOMA TENA UJIBU HOJA YA MSINGI.na usijibu out of point.
 
nakupata..nakupata Mshinga,ila tambua masomo matatu yanawekwa il kumwongezea msomaj uwanja mpana wa kwenda kweny proffesional yake chuon,kumbuka elim ya 5&6 haina ujuz wwote bal umwandaa mwanafunz kwa ajil ya elim ya juu ambako ata specialize kweny kitu chake akipendacho;mfano mm nlisoma PCB lkn saiv nasomea Petroleum eng.ambapo Phy inatumika ila cjutii kusoma Bios sabbu imenipa kujitambua
 
Hoja Yako Inamashiko Pia Unaweza Kurudi Nyuma O-Level Kuna vitu havikosawa Yaan Nikucheleweshana tu
 
Wazungu ndo wanatushinda
hapa.
Mtu anakubali kuspecialize mapema na anajua kweli kuhusu fani yake,sisi
na tamaa ya fisi unataka ujue walau kidogo japo hutakifanyia kazi mana
wataalamu wake watakuwepo,na wewe unakuwa unajua kidogo tu wakati muda
mwingine uliupoteza kwenye somo ambalo lina wataalamu wake.
ndugu ya sio kweli kuwa wazungu wanaopt masomo tangu mapema mfano uingerza italy ufaransa wao advance ni masomo 3 ugeruman austria uholanzi wao advance ni masomo 5
 
mbona Uganda tu hapo advance ni ngoma nne pamoja na gs mkuu.... tena nahisi na kwa sie hapa bongo yangeongezwa kabisa
 
mwenye huu uzi inaonekana unapenda sana mteremko hao walioanzisha hayo masomo matatu sio wajinga nahc ww ni kilaza think big usipend urahisi wa mambo
 
mfumo wa elimu yetu ya tanzania unatambua masomo matatu kwa kila combination.
Mfumo wa kujiunga chuo kikuu unataka ufaulu wa masomo mawili tu.
Vitivo vyuo vikuu vinataka masomo mawili tu.
Kwa nini mwanafunzi abebeshwe mzigo wa somo la tatu???
Hata kama lina umhimu wake lakini bado sijashawishika.
Mfano:
1.pcb,physics ni ya kazi gani mpaka mwanafunzi wa pcb alazimike kusoma physics yote,natambua kuwa kuna application ya physics kwa mwanafunzi anaesoma udakitari na fani zingine za kitabibu lakini ingepaswa mwanafunzi wa pcb asome cb+basic applied physics kwa matumizi ya lazima tu.
2.pcm ilipaswa iwe pm+basic applied chemistry.
Huwezi kunishawishi kuwa chemistry ya mtu anaetaka kuwa dakitari(pcb-physics haihitajiki sana) eti ifanane na chemistry ya mtu anaetaka kuwa injinia-with exclusion of engineering from biology and chemistry(pcm-chemistry haihitajiki sana)
mifano inatosha.
Pia physics ya pcb= physics ya pcm.
Masomo mawili yanatosha na kasomo kadogo ka tatu kwa matumizi madogo.

huchelewi kupeleka maoni yako katiba mpya.
 
Wazungu ndo wanatushinda hapa.
Mtu anakubali kuspecialize mapema na anajua kweli kuhusu fani yake,sisi na tamaa ya fisi unataka ujue walau kidogo japo hutakifanyia kazi mana wataalamu wake watakuwepo,na wewe unakuwa unajua kidogo tu wakati muda mwingine uliupoteza kwenye somo ambalo lina wataalamu wake.

Mshinga wakati nasoma kidato cha kwanza nilianza na masomo kumi na mawili kwa maana ya Civics,Kiswahili,English,Mathematics,Physics,CHemistry,Biology,Geography,History,Agriculture,Book keeping na Commerce.
Na nikayafanyia mtihani kidato cha pili,Kidato cha tatu nikaachia mawili out of kwa maana ya Book keeping na Commerce nikabaki na 10 hadi kidato cha nne,Kidato cha tano nikapanda PCM of which nimepanda chuo kwa sababu ya physics & Maths!

Though kuna masomo ambayo nimepitia tu na kuacha ambayo naweza kusema hayakuwa na msingi wowote kwenye fani yangu ya leo ila yalinijenga kwa namna moja ama nyingine! Kwa hiyo tulaumu tu bahati yetu kutopata exposure ya kusoma abroad ambako pangekuwa na uwezekano mkubwa wa kusoma kile tu kitakachokuwa foundation yako kwenye elimu ya juu!

Ofisini nayoitumikia kuna waliosoma nje hadi level ya Masters kwenye Architecture ila tukiingia mzigoni mimi ndo naonekana as wa masters na yeye anakuwa siyo graduate! Kwa hiyo tukubaliane kwamba elimu ya bongo ina changamoto zake wakati wa kusoma ila inampa mhitimu range kubwa ya kutumia alichokisoma!
 
Last edited by a moderator:
mfumo wa elimu yetu ya tanzania unatambua masomo matatu kwa kila combination.
mfumo wa kujiunga chuo kikuu unataka ufaulu wa masomo mawili tu.
Vitivo vyuo vikuu vinataka masomo mawili tu.
KWA NINI MWANAFUNZI ABEBESHWE MZIGO WA SOMO LA TATU???
hata kama lina umhimu wake lakini bado sijashawishika.
Mfano:
1.PCB,physics ni ya kazi gani mpaka mwanafunzi wa PCB alazimike kusoma physics yote,natambua kuwa kuna application ya physics kwa mwanafunzi anaesoma udakitari na fani zingine za kitabibu LAKINI INGEPASWA mwanafunzi wa PCB asome CB+basic applied physics kwa matumizi ya lazima tu.
2.PCM ilipaswa iwe PM+basic applied chemistry.
HUWEZI KUNISHAWISHI kuwa chemistry ya mtu anaetaka kuwa dakitari(PCB-physics haihitajiki sana) eti ifanane na chemistry ya mtu anaetaka kuwa injinia-with exclusion of engineering from BIOLOGY and CHEMISTRY(PCM-chemistry haihitajiki sana)
mifano inatosha.
Pia physics ya PCB= physics ya PCM.
MASOMO MAWILI YANATOSHA na kasomo kadogo ka tatu kwa matumizi madogo.

sikubalian na wewe maana ukiangalia katika PCM sio kila mtu anataka awe engineer mwingine ataenda kusomea Nuclear Physics hii inahitaji sana physics na pia kemia na maths hapo haitakiwi kukosekana. so bado yana umuhimu
 
Masomo matatu yanatoa flexibility zaidi.
kweli kabisa.je akifaulu math na chemistry?,je akifaulu math na physics na kufeli bios utaenda udaktar@bora uwe na matatu yanakupa flexibility.kijana mambo mengne fikili kwanza ndo uandike topic
 
wazungu gani? tunawaona wazungu kwenye sekondari zao wanasoma mambo zaidi. hata wanapofika chuo kikuu husoma mengi. marekani, kwa mfano, wanasoma kwanza general degree kabla ya medicine. na digrii ya kwanza atasoma mpaka kiingereza. tunadanganyana hapa na habari za "facults" au "fucults" badala ya "faculty". ushahidi wa jinsi mambo basic kabisa watu wanababaisha. tz tutaachwa nyuma na jirani zetu kwa ubabaishaji huu. tayari wanatuita "half educated" na bado tunataka kushusha viwango. argh!
 
Wazungu ndo wanatushinda hapa.
Mtu anakubali kuspecialize mapema na anajua kweli kuhusu fani yake,sisi na tamaa ya fisi unataka ujue walau kidogo japo hutakifanyia kazi mana wataalamu wake watakuwepo,na wewe unakuwa unajua kidogo tu wakati muda mwingine uliupoteza kwenye somo ambalo lina wataalamu wake.

Hiyo ya wazungu ningefurahi ungeeleza zaidi kwa kuichambua kuwa wao ikoje kama ulivyofanya na ya kwetu, na nchi gani hizo/yo?
 
Back
Top Bottom