Masomo matatu Advance hayana mana.

Masomo matatu Advance hayana mana.

basic APPLIED SUBJECT katika elimu ya adance ni kama ilivyo BAM ya PCB,CBA,CBG nk ambayo haifanani pure maths ya PCM,EGM,CBM,PGM nk,MSOMO YASIYO BASIC NI PRINCIPAL SUBJECTS ambayo ndo yanatengeneza mjumuiko wa hayo masomo ya katika combination,anaeamua iweje ni serikali kama walivyoamua sasa kwa kuanzisha combination mpya kama hiyo ya CBM na zingine kama tatu,
MTU ANAPOYAITA MASOMO YOTE YA ADVANCE KUWA NI BASIC HAPO ANAZUNGUMZIA KATIKA NGAZI YA JUU YAKE,mfano mtu akiwa chuo kikuu masomo ya advance ndio basic ya vitivo vya chuoni,vivyo hivo mtu anaweza kusema masomo yote ya o leve ni introduction kwa masomo hayo akimaanisha mtu akiwa Advance masomo ya o level yalisimama kama introduction kwa yeye kuweza kuyasoma masomo hayo ya advance

Sijauliza basic applied, nimeuliza basic.

Since you raised "applied" subject, unajua tofauti ya "applied" na "pure"?

How do you distinguish what is "applied" and "pure" in HGK?

Kama masomo yote ya A Level ni Basic kwa Chuo Kikuu, kwa nini unataka kupunguza base ya Chuo Kikuu?

From your explanation above...

Kama mwanafunzi wa A Level ana three shots at gaining two requisite subjects for Univeristy, so that if he misses one and hits on the remaining two well he still has a chance, why do you want to lower the chance from 3 to 2 ?

How is that advantageous to the student?

Do you know the fair chances of getting it right two times out of two as opposed to two times out of three?

Wakati wengine wanachukua masomo manne A Levels, Wakorea watoto wanaenda shule mpaka Jumamosi, sisi tunataka kupunguza masomo yawe mawili, clamoring for the source of our failure, barking up the wrong tree.
 
Sonson hapo juu kakupa mifano. Nimekupa mfano wa Marekani. Kweli kama unataka kuwa daktari mbunifu lazima uijue fizikia vizuri. Fizikia imekuwa msingi mkubwa wa uchunguzi wa hata vitu kama DNA. Narudia tusitafute mitelemko tukapata elimu finyu finyu. we must run while they walk.
 
Kichwa ni elastic bwana Mshinga,tunatakiwa kukijaza kwa kiwango kikubwa,Tukikubaliana kusoma tu masomo mawili utakuja kukataa pia Anatomy isisomwe na MDs ambao lengo lao ni kuja ku-specialize kwenye Neurology!

Kwa mtindo huu kila siku tutakuwa watu wa kushangaa na kusubiri innovation za wazungu , wenzetu wanaspecillize kwenye somo moja na kulielewa .
Maoni ya mtoa mada yako sahihi sana kama kweli tuna nia ya kutengeneza wataalam competetive kwa dunia ya leo.
 
ndugu ya sio kweli kuwa wazungu wanaopt masomo tangu mapema mfano uingerza italy ufaransa wao advance ni masomo 3 ugeruman austria uholanzi wao advance ni masomo 5

Mkuu !! kujifunza masomo mengi kwa wenzetu mara nyingi ni option ambayo mtu anachukua baada ya kujipima na kuona anaweza. Inasemekana majority ya IQ za binadamu wa kawaida haziruhusu kujifunza vitu vingi kwa wakati mmoja!

Niliwahi kufundishwa physics A level na mwalimu mmoja wa peace corps ,fit kiukweli kwa physics kuanzia laws na aplications zake,alishangaa jinsi tulivyokuwa tuna lundo la masomo ( matano kwa wakati ule ) ana degree! na kuanzia utoto wake alisoma physics plus basic math tu.
 
mwenye huu uzi inaonekana unapenda sana mteremko hao walioanzisha hayo masomo matatu sio wajinga nahc ww ni kilaza think big usipend urahisi wa mambo

mimi sijawaita wajinga labda wewe ndio unaona wajinga,na wewe NDIO UTAKUWA MJINGA NAMBA MOJA KAMA UNAAMINI KILA KITU KILICHOANZISHWA KABLA HAKIWEZI KUBADILISHWA ETI KWA SABABU ZILITUMIKA SABABU,hata sasa najenga hoja kwa kutumia sababu na kama nikiweza kuwashawishi watu wakaelewa hoja yangu tunaweza kufikia hayo mabadiliko,''THINK DIFFERENTLY' BY STIVE JOBS kwa hiyo si lazima uendelee kufikiria vilevile mana katika innnovation ukifikiria yale yale kila siku hakuna siku utakayofanya mageuzi.NA BAHATI MBAYA UNATETEA HOJA BILA KUJUA AMA KUWA NA SABABU ZILIZOPELEKEA WAKAONA ILIFAA WATU KUSOMA MASOMO MATATU,mfano hapo nyuma kidogo kuna kelele zilipigwa kuwa hata upangaji wa masomo yetu ya COMBINATION UMEPITWA NA WAKATI KULINGANISHA NA MUDA WA SASA na ndio maana sasa wameleta combination mpya KAMA CBM-chemistry,biology na mathematics NA WATU WANGEENDELEA KUFIKIRIA YALE YALE KAMA ZAMANI KWA AIKILI KAMA YAKO WASINGEKUWA WAMELETA MAGEUZI HAYA LEO.
pia nguli wa sayansi duniani anaejulikana kama THE FATHER OF SCIENCE SIR ISAAC NEWTON alisema"anything in science can be proved or disproved"KWA HIYO HATA LEO INAWEZEKANA LOLOTE LIKATOKEA KWA AMA KUBALISHWA KABISA BAADA YA KUHAKIKI KUWA HAIKUWA SAHIHI KWA HIZO SABABU ZA MWANZO AMA KUENDELEA NA KITU KILEKILE BAADA YA KUKIHAKIKI KUWA ILIKUWA SAWA KAMA ILIVYOELEZWA KABLA
 
mkuu !! Kujifunza masomo mengi kwa wenzetu mara nyingi ni option ambayo mtu anachukua baada ya kujipima na kuona anaweza. Inasemekana majority ya iq za binadamu wa kawaida haziruhusu kujifunza vitu vingi kwa wakati mmoja!

Niliwahi kufundishwa physics a level na mwalimu mmoja wa peace corps ,fit kiukweli kwa physics kuanzia laws na aplications zake,alishangaa jinsi tulivyokuwa tuna lundo la masomo ( matano kwa wakati ule ) ana degree! Na kuanzia utoto wake alisoma physics plus basic math tu.
asante kwa hili.
 
kwa mtindo huu kila siku tutakuwa watu wa kushangaa na kusubiri innovation za wazungu , wenzetu wanaspecillize kwenye somo moja na kulielewa .
Maoni ya mtoa mada yako sahihi sana kama kweli tuna nia ya kutengeneza wataalam competetive kwa dunia ya leo.
thanks mawazo kama haya yanaweza kusaidia
 
Sonson hapo juu kakupa mifano. Nimekupa mfano wa Marekani. Kweli kama unataka kuwa daktari mbunifu lazima uijue fizikia vizuri. Fizikia imekuwa msingi mkubwa wa uchunguzi wa hata vitu kama DNA. Narudia tusitafute mitelemko tukapata elimu finyu finyu. we must run while they walk.

TATIZO UNAPOSEMA PHYSICS HUELEWI KAMA KUNA TOPIC NDANI YAKE,unataka kuniambia topic zote na kila kitu unachosoma leo hapa tanzania ndio kilekile wasoma marekani?UNAWEZA KUSEMA HII NI PHYSICS na wewe ukameza mitopiki kibao mpaka isiyohusika na fani yako kama ilivyo sasa hapa tanzania,na mwenzio huko marekani NAE AKASEMA ANASOMA PHYSICS LAKINI PHYSICS YAKE NI ILE TU YENYE TOPIC ZINAZOTUMIKA MOJA KWA MOJA KWENYE HIYO FANI YAKE YA UDAKITARI NA TOPIC ZINGINE TUPA KULE,kama wewe unaijua physics vizuri na huo udakitari HEBU NIAMBIE KWA MFANO ILE TOPIC YA GEOPHYSICS ina matumizi gani kwa dakitari?SIYO KILA KIYU KWENYE PHYISICS KINA MATUMIZI KILA SEHEMU.na kwa msingi huo ndio nikasema inapaswa kusoma vile vitu vichache tu vinavyoendana na unachokitaka.
 
mimi sijawaita wajinga labda wewe ndio unaona wajinga,na wewe NDIO UTAKUWA MJINGA NAMBA MOJA KAMA UNAAMINI KILA KITU KILICHOANZISHWA KABLA HAKIWEZI KUBADILISHWA ETI KWA SABABU ZILITUMIKA SABABU,hata sasa najenga hoja kwa kutumia sababu na kama nikiweza kuwashawishi watu wakaelewa hoja yangu tunaweza kufikia hayo mabadiliko,''THINK DIFFERENTLY' BY STIVE JOBS kwa hiyo si lazima uendelee kufikiria vilevile mana katika innnovation ukifikiria yale yale kila siku hakuna siku utakayofanya mageuzi.NA BAHATI MBAYA UNATETEA HOJA BILA KUJUA AMA KUWA NA SABABU ZILIZOPELEKEA WAKAONA ILIFAA WATU KUSOMA MASOMO MATATU,mfano hapo nyuma kidogo kuna kelele zilipigwa kuwa hata upangaji wa masomo yetu ya COMBINATION UMEPITWA NA WAKATI KULINGANISHA NA MUDA WA SASA na ndio maana sasa wameleta combination mpya KAMA CBM-chemistry,biology na mathematics NA WATU WANGEENDELEA KUFIKIRIA YALE YALE KAMA ZAMANI KWA AIKILI KAMA YAKO WASINGEKUWA WAMELETA MAGEUZI HAYA LEO.
pia nguli wa sayansi duniani anaejulikana kama THE FATHER OF SCIENCE SIR ISAAC NEWTON alisema"anything in science can be proved or disproved"KWA HIYO HATA LEO INAWEZEKANA LOLOTE LIKATOKEA KWA AMA KUBALISHWA KABISA BAADA YA KUHAKIKI KUWA HAIKUWA SAHIHI KWA HIZO SABABU ZA MWANZO AMA KUENDELEA NA KITU KILEKILE BAADA YA KUKIHAKIKI KUWA ILIKUWA SAWA KAMA ILIVYOELEZWA KABLA

Dude still with "Stive Jobs" and "Father of Science Sir Isaac Newton". Flashing classical absolutism in a quantum probabilistic age.

That alone ought to tell you so much.

And this is the guy who wants to drop some classes?

Has he ever heard of the leaning tower of Pisa? Eratothenes?

Grab a book. Learn to spell already. Pick up some Galileo. Check your timeline.

Stive Jobs? Really?

And this is the dude that critiques the A Level system?
 
Hujajibu swali langu la msingi.

Kama haya masomo yote ni basic kwa mwanafunzi anayesoma university, kama ulivyoandika mwenyewe, kwa nini unataka kupunguza wigo wa basic subjects za kuingilia university wakati mwanafunzi bado yupo A- Level ?

While at it, kwa nini utake masomo mawili A Level na sio moja kabisa? What is your criteria? What makes you say 3 is too much 2 is just enough and 1 is not sufficient?

Wewe hujajua netiquette na kwamba writing in all caps is a faux pas that makes you appear that you are shouting in hysterics halafu unataka kufundisha watu wabadili mfumo wa elimu bila sufficient reasons?
Hujajibu swali langu la msingi.
NIMEKUJIBU SEMA UMEELEWA TOFAUTI
Kama haya masomo yote ni basic kwa mwanafunzi anayesoma university, kama ulivyoandika mwenyewe, kwa nini unataka kupunguza wigo wa basic subjects za kuingilia university wakati mwanafunzi bado yupo A- Level ?
NILIPOSEMA BASIC SUBJECTS SIKUWA NAJENGA HOJA ILA NILITUMIA BASIC SUBJECTS KAMA NENO RASIMI LINAVYOAITA HAYO MASOMO,na ikibadilishwa basic SUBJECT(PRINCIPLE SUBJECTS) itaafikiwa NA KUJULIKANA kuwa ni masomo mawili kwa ADVANCE AMBAPO MASOMO HAYO HAYO NDIO MSINGI WA KWENDA KUCHAGULIA KITIVO CHUO KIKUU

While at it, kwa nini utake masomo mawili A Level na sio moja kabisa? What is your criteria? What makes you say 3 is too much 2 is just enough and 1 is not sufficient?
WELL KWA SASA NILIPOJARIBU KUANGALIA KUNA VITU VIWILI VILIVYONISUKUMA KUSEMA MASOMO YAWE MAWILI
1.SYSTEM KARIBU YOTE YA VYUO VIKUU DUNIANI INATAKA MASOMO MAWILI KAMA KIGEZO CHA WEWE KURUHUSIWA KUSOMEA DEGREE,na kama ningependekeza somo moja ingemaanisha kubadili mfumo wetu wote wa chuo kikuu lakini hatuwezi kubadilisha mifumo ya vyuo vikuu vya nje na hivyo moja kwa moja watu wetu watakosa vigezo vya moja kwa moja kusoma vyuo vikuu vingine dunia vinavyotaka masomo mawili japo inawezekana,NA KAMA IKIONEKANA INAWEKANA BILA KULETA TATIZO AMA MKANGANYIKO THAT WILL BE THE BEST OPTION.maana hata sasa kwa mfano leo kuna watu wanaenda chuo kikuu kusomea fani ambayo unakuta advance hakusoma somo lolote lenye kitivo hicho ila wanatumia matokeo ya o level kama alilifaulu hilo somo na hapo ndio unagundua kuwa wakati mwingine si lazima hata kusoma advance kama kenya.MFANO PCM anaenda kusoma sheria wakati hakusoma history wala language na wanaangalia kama tu alifaulu history na english o level
2.vitivo vyenyewe katika chuo kikuu vinatumia mchanganyiko wa masomo mawili tu.
NA HIZO NDIO SABABU KWA SWALI LAKO.

Wewe hujajua netiquette na kwamba writing in all caps is a faux pas that makes you appear that you are shouting in hystericsie
JADILI MADA MANA TUKIANZA KURUSHIANA KEJELI ZA KIPUUZI HATUWEZI KUJADILI MADA,na isitoshe hakuna justificattion katika sayansi na nayachukulia kama mawazo ambayo sina haja ya kuanza kuyajadili pamoja na kuwa imeelezwa hivyo
KAMA WANAJUA HIVYO SI WAONDOE MATUMIZI YA RANGI NA HERUFI KUBWA KWENYE MTANDAO,MANA NAONA HATA HAYO MAELEZO HAYANA MSINGI SANA KWA SABABU BOLD,COLOURING,CAPS wameweka tutumie tunapohisi panastahili na katika category zingine wanaeleza umuhimu pia wa caps,colouring,underlying nk
unataka kufundisha watu wabadili mfumo wa elimu bila sufficient reasons?
SABABU NIMETOA NA NINAENDELEA KUTOA KWA KUJIBU HOJA ZOTE NA SIJAKIMBIA NA SITAKIMBIA KUJIBU,nipo hapa kujibu hoja mpya ambazo hazina maelezo kwenye mada yangu.TUENDELEE KUJADILIANA KWA HOJA,OK
 
Dude still with "Stive Jobs" and "Father of Science Sir Isaac Newton". Flashing classical absolutism in a quantum probabilistic age.

That alone ought to tell you so much.

And this is the guy who wants to drop some classes?

Has he ever heard of the leaning tower of Pisa? Eratothenes?

Grab a book. Learn to spell already. Pick up some Galileo. Check your timeline.

Stive Jobs? Really?

And this is the dude that critiques the A Level system?

you seem to be so stagnant and conservative without weighing analytical thinking to have an objective turn.
be analytical and a global thinker.
all about newton and jobs were a supporting point to my argument that we have to objectively think in a different way to come with new things and probably the best thing ever in science era and at the same time i had to to put a note from newton that all what is yet confined to scientific explanation may have been correctly or incorrectly analyzed and so,reasoning and questioning to the existing idea can be revised to prove wrong or correct as no legend had ever not done an error or mistake,like as before Pluto was proved to be a planet but now it has been disproved as a planet.
i am not here to show off but i am here to argue my opinions and so i might not be knowing anything about the tower Pisa but that worthy nothing to me and my point and in my head there is a stockpile of many things of which you are not familiar to,and i believe you also have many things that i don't know but that difference cant be a point to show off,let us turn to topic though i know more about the legend GALILEO who preceded the father of science spending 20years studying motion of which it was a mark of an easy study to newton.
TUYAACHE HAYO NA TUJADILI MADA ILA YATUMIKE KAMA MIFANO TU.
 
my aim is to be a generalist sio kujifunga bila kujua vitu vichache.mfano chuo hata wanaosoma engineering wanasoma unit ya economics and entrepreneuship

HIYO dhana ya watanzania kuwa generalist=(kujua kila kitu ama kufiti kila sehemu) NDIYO INAHARIBU KILA KITU,inamkuta mtu anatia ujuaji wa kila kitu na hakuna hata sehemu moja ambayo yupo competent,kila sehemu ni kubwabwaja tu,mara hiki najua na watu wakizama ndani unajikuta ni mweupe yana hujui kitu kuhusu hicho,mara najua kile napo wakikupeleka uzame ndani inakuwa kichwa nazi,LAZIMA TUKUBALI KUANZIA SASA KILA MTU ASIMAME MAHALA PAKE UKISEMA WEWE NI DAKITARI kweli uwe dakitari kweli unaejua A TO Z kwenye udakitari na ujue kazi yako mpaka kufa ndiyo hiyo ya udakitari na akili yako yote itumike kwenye udakitari tu na NAAPA KUWA TUKIFANYA HIVYO TUTAFIKA.
mfano MARA NYINGI IMETOKEA MITAMBO YA UMEME INAHARIBIKA PALE UBUNGO,unasikia tunaambiwa wanasubiria wataalamu kutoka nje waje kuchunguza ili kubaini tatizo na hapo hapo kuna ma-engineer wa tanesco wanakodoa macho tu kisa NI MAGENERALIST YAANI WANAJUA VITU VINGI LAKINI KIDOGOKIDOGO.
kwani kuna haja gani ya mtu kuwa generalist kwenye nchi yenye resource kubwa ya watu na istoshe utakuwa unafanya kazi moja tu?
 
Mshinga wakati nasoma kidato cha kwanza nilianza na masomo kumi na mawili kwa maana ya Civics,Kiswahili,English,Mathematics,Physics,CHemistry,Biology,Geography,History,Agriculture,Book keeping na Commerce.
Na nikayafanyia mtihani kidato cha pili,Kidato cha tatu nikaachia mawili out of kwa maana ya Book keeping na Commerce nikabaki na 10 hadi kidato cha nne,Kidato cha tano nikapanda PCM of which nimepanda chuo kwa sababu ya physics & Maths!

Though kuna masomo ambayo nimepitia tu na kuacha ambayo naweza kusema hayakuwa na msingi wowote kwenye fani yangu ya leo ila yalinijenga kwa namna moja ama nyingine! Kwa hiyo tulaumu tu bahati yetu kutopata exposure ya kusoma abroad ambako pangekuwa na uwezekano mkubwa wa kusoma kile tu kitakachokuwa foundation yako kwenye elimu ya juu!

Ofisini nayoitumikia kuna waliosoma nje hadi level ya Masters kwenye Architecture ila tukiingia mzigoni mimi ndo naonekana as wa masters na yeye anakuwa siyo graduate! Kwa hiyo tukubaliane kwamba elimu ya bongo ina changamoto zake wakati wa kusoma ila inampa mhitimu range kubwa ya kutumia alichokisoma!

nina wasiwasi na maelezo hayo kwanza mfano ni mmoja ambao hauwakilishi elimu yote ya watu wa huko,pili kwa nini sisi mpaka leo na huo utalaamu wa bongo hatujafika popote kama kweli elimu ya wazungu ingekuwa magumashi
 
Kuna Architect mmoja ambaye baada ya kumaliza kidato cha nne wazazi walimpeleka uingereza ambapo alipiga miaka miwili architectural school kabla ya kujoing University ambapo alisoma Architectute general na Kuspecialize kwenye Low cost housing! Kaja bongo ka-volunteer Wakala wa majengo almost miaka miwili kisha kaomba kufanya mtihani wa board (AQRB) Ambapo alifail mara tatu kabla ya mwaka wa nne kusajiliwa kimkanda mkanda tu!

Kama si mgeni sana bongo kuna kipindi UDSM waliwahi kumtaka Prof. mmoja ambaye elimu yake yote hakusoma bongo, afanye mtihani ndipo aajiriwe akakataa! Nenda mbali kidogo chunguza wanasheria wengi wa taasisi za kiserikali,utagungua ni mazao ya UDSM na Mzumbe ilihali wakati wa usaili kulikuwa na GPA nzuri sana za nje,ambazo ziliachwa!
 
Mada ni nzuri kwa hoja,naenda offline,lakini nikirudi nitajibu hoja zote zitakazokuwepo,sibanduki mpaka kila mtu aanze kufikiri kwa upana.
 
you seem to be so stagnant and conservative without weighing analytical thinking to have an objective turn.

You can hardly write a straight sentence, yet you want to lecture me on objectivity and being stagnant?

Conservative?Me? I don't believe in the existence of god, how conservative could I be?

Stagnant? What is stagnant about asking your rationale?

be analytical and a global thinker.

What is analytical about not answering questions?

I gave you a case of Koreans and how they are striving to learn more by using a six day schoolweek. Learning more, not less. You haven't addressed that.

Who is failing to think globally now?

all about newton and jobs were a supporting point to my argument

No, saying Newton is the father of science just exposes your ignorance.

that we have to objectively

You wouldn't know objective if it stared you in the eye.

think in a different way to come with new things

Different and new does not automatically mean better, hence the challenge you failed to defend yourself against.

and probably the best thing ever in science era and at the same time i had to to put a note from newton that all what is yet confined to scientific explanation may have been correctly or incorrectly analyzed and so,reasoning and questioning to the existing idea can be revised to prove wrong or correct as no legend had ever not done an error or mistake,like as before Pluto was proved to be a planet but now it has been disproved as a planet.

Dude, learn to write first. Like in sentences, using punctuations. Otherwise you come across as writing a gibberish stream of unconsciousness.

i am not here to show off

Nevertheless the moment you write here you show us your intellectual vacuity.

but i am here to argue my opinions

You cannot argue your opinions if you cannot answer questions.

and so i might not be knowing anything about the tower Pisa but that worthy nothing to me

If you do not know anything about it, how do you know that "that worthy nothing to me" (sic)

A little learning is dangerous indeed.

and my point and in my head there is a stockpile of many things of which you are not familiar to,

And which you have failed to communicate, I suggest a few communication lessons.

and i believe you also have many things that i don't know but that difference cant be a point to show off,

If you cannot write in English just write in Swahili already.

let us turn to topic though i know more about the legend GALILEO

No, you don't. If you did you would have known that Newton cannot be the father of science.

who preceded the father of science spending 20years studying motion of which it was a mark of an easy study to newton.

Go grab a book already. I suggest John Gribbin's "Science A History: 1543 - 2001"

At the very least you will see that there was Science before Newton, and therefore Newton cannot possibly be the father of science.

31ASxUE0imL.jpg

TUYAACHE HAYO NA TUJADILI MADA ILA YATUMIKE KAMA MIFANO TU.

Kwa nini unafikiri hayo si mada wakati mada ni elimu na wewe unataka kubadili mfumo wa elimu kuondoa masomo ambayo hata vitu vya msingi kabisa huvijui?

Wewe usiyejua kwamba Newton is not the father of science, unahitaji "tuition", lakini wewe huyuhuyu ndiye unayetaka kupunguza masomo na kupiga kelele hapa JF?
 
mi nina mashaka na magreat thinkers wngne hum. huwezi kung'ang'ania kubisha tu na wakt mambo yapo wazi kabisa. mtu anang'ang'ania fulan sio father of science kwan hii ndo mada? by the way unaposema father of science haimaanish kuwa hakukuwepo na science kabla yake but appreciates how one is so competent in it mfano tunaposema baba wa amani haimaanish kuwa hakukuwepo na amani kabla yake. pia mtoa mada hawashabikii wale waliosoma nje coz wanaweza kwenda huko na wakafel bt wakird hapa wakachakachua mambo wakapata ajira ktk vtengo muhm so we cant expect better results from their work done nakuanza kukosoa mifumo ya huko nje kitu muhim hapa nikujiuliza Je kujua kila kitu kidogokidogo na kufanyia kazi sekta moja ambayo hujakamilika nayo inaleta tija yoyote kwa ustawi wa taifa letu?
 
mbona Uganda tu hapo advance ni ngoma nne pamoja na gs mkuu.... tena nahisi na kwa sie hapa bongo yangeongezwa kabisa

Wangefanya masomo 7 kwa A-Leval ingekua fresh zaidi.
 
mi nina mashaka na magreat thinkers wngne hum. huwezi kung'ang'ania kubisha tu na wakt mambo yapo wazi kabisa. mtu anang'ang'ania fulan sio father of science kwan hii ndo mada? by the way unaposema father of science haimaanish kuwa hakukuwepo na science kabla yake but appreciates how one is so competent in it mfano tunaposema baba wa amani haimaanish kuwa hakukuwepo na amani kabla yake. pia mtoa mada hawashabikii wale waliosoma nje coz wanaweza kwenda huko na wakafel bt wakird hapa wakachakachua mambo wakapata ajira ktk vtengo muhm so we cant expect better results from their work done nakuanza kukosoa mifumo ya huko nje kitu muhim hapa nikujiuliza Je kujua kila kitu kidogokidogo na kufanyia kazi sekta moja ambayo hujakamilika nayo inaleta tija yoyote kwa ustawi wa taifa letu?

First off, wengine "great thinker" kwetu ni tusi. Don't take it for granted kwamba kila mtu anashobokea hiyo label.

Pili, kama mtu kasema Kibunango ndiye baba wa sayansi wakati si kweli, hii ni sehemu ya mada, hata kama ni katika kuonesha udhaifu wa umakini wa mleta mada tu.

Tatu, don't even try to spin "father of science". There are ways to spin that, but you obviously are clueless on how.

Nne, hujui kuweka wazi kitu muhimu kuhusu kitu muhimu.
 
Back
Top Bottom