Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
basic APPLIED SUBJECT katika elimu ya adance ni kama ilivyo BAM ya PCB,CBA,CBG nk ambayo haifanani pure maths ya PCM,EGM,CBM,PGM nk,MSOMO YASIYO BASIC NI PRINCIPAL SUBJECTS ambayo ndo yanatengeneza mjumuiko wa hayo masomo ya katika combination,anaeamua iweje ni serikali kama walivyoamua sasa kwa kuanzisha combination mpya kama hiyo ya CBM na zingine kama tatu,
MTU ANAPOYAITA MASOMO YOTE YA ADVANCE KUWA NI BASIC HAPO ANAZUNGUMZIA KATIKA NGAZI YA JUU YAKE,mfano mtu akiwa chuo kikuu masomo ya advance ndio basic ya vitivo vya chuoni,vivyo hivo mtu anaweza kusema masomo yote ya o leve ni introduction kwa masomo hayo akimaanisha mtu akiwa Advance masomo ya o level yalisimama kama introduction kwa yeye kuweza kuyasoma masomo hayo ya advance
Sijauliza basic applied, nimeuliza basic.
Since you raised "applied" subject, unajua tofauti ya "applied" na "pure"?
How do you distinguish what is "applied" and "pure" in HGK?
Kama masomo yote ya A Level ni Basic kwa Chuo Kikuu, kwa nini unataka kupunguza base ya Chuo Kikuu?
From your explanation above...
Kama mwanafunzi wa A Level ana three shots at gaining two requisite subjects for Univeristy, so that if he misses one and hits on the remaining two well he still has a chance, why do you want to lower the chance from 3 to 2 ?
How is that advantageous to the student?
Do you know the fair chances of getting it right two times out of two as opposed to two times out of three?
Wakati wengine wanachukua masomo manne A Levels, Wakorea watoto wanaenda shule mpaka Jumamosi, sisi tunataka kupunguza masomo yawe mawili, clamoring for the source of our failure, barking up the wrong tree.