Rutunga M
JF-Expert Member
- Mar 16, 2009
- 1,769
- 1,390
Kama mnavyojiua serikali inahimiza matumizi ya tehama katika kufundisha kwenye shule za msingi na serikali.
Juzi nilipita katika shule moja ya sekondari nikakuta wao wamepata msaada wa vifaa vyote vya kuwawezesha kupata masomo hayo kwa njia ya mtandao lakini changamoto kubwa kwao ni akina nani wanatoa hiyo elimu bila malipo ili waweze kujiunga? Niliulizwa nikashindwa kujua.
Sasa kama unajua link au wanafunzi hawa wanapoweza kuwa wanajiunga ili wafundishwe naomba kujua.
Kumbuka iwe ni free. Maana ni hizi shule za serikali