Masota: Bongo fleva artist na komandoo wa JWTZ afariki dunia

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,305
Habari wadau wa JF na Bongo fleva,

Aliyekuwa mwanamziki wa bongo fleva na komandoo wa JWTZ aliyejulikana kama Masota afariki dunia.

Masota alitamba na vibao kadhaa alivyorecord kwa producer Majani miaka ya 2004 "Visa vya madent ",Marehemu ameacha mke na watoto watatu,ukiachia mziki pia alikuwa komandoo wa JWTZ kikosi cha ngelengele.




Sikiliza Wimbo Wake Hapa Chini Uliotengenezwa na Producer P-Funk Majani unaitwa WAKUSOMA.
 

Attachments

sijawahi kujua kuna mwanamziki anaitwa hivyo Tanzania

Hiyo nyimbo yake alikuwa anasikiliza mwenyewe?

R.I.P Soldier
 
Nini sababu ya kifo chake!
Au ni miongoni mwa wale 14
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…