Lung'wecha
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 927
- 574
Aiseee mambo haya jamaniKama mnakumbuka lile tukio la makomandoo kutua na maparachuti uwanja wa Uhuru kwenye sherehe za Uhuru basis alikuwa yeye.alifariki juzi kwenye sherehe za Uhuru baada ya kujeruhiwa na mzinga Dodoma back stage kwenye maonesho akakimbzwa muhimbili akafariki huko..sio mmoja ya wale makomando wa Kongo yeye alipata ajali kwenye sherehe za Uhuru. mazishi tarehe 16 desemba kigamboni alipokuwa anaishi