Masota: Bongo fleva artist na komandoo wa JWTZ afariki dunia

huyu ni yule alikuwa anafanya mazoezi ya mazimisho ya uhuru bomu likamlipukia apumzike kwa amani ni pigo sana na maumivu makali aliyopitia kabla ya kifo chake akika duniani tunapita tu
Duu aisee
 
Kama mnakumbuka lile tukio la makomandoo kutua na maparachuti uwanja wa Uhuru kwenye sherehe za Uhuru basis alikuwa yeye.alifariki juzi kwenye sherehe za Uhuru baada ya kujeruhiwa na mzinga Dodoma back stage kwenye maonesho akakimbzwa muhimbili akafariki huko..sio mmoja ya wale makomando wa Kongo yeye alipata ajali kwenye sherehe za Uhuru. mazishi tarehe 16 desemba kigamboni alipokuwa anaishi
 
RIP Soldier. Asante kwa ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…