Masota: Bongo fleva artist na komandoo wa JWTZ afariki dunia

Aiseee mambo haya jamani
 

Aisee! Mungu Amjaalie Pumziko La Milele.

Mh. Rais Bila Shaka Utatuongoza kwenye mazishi ya komandoo wetu
 
Why Tz is lossing this number of elite soldiers this season?

Apepe
 
Kongo pia kuna makomandoo waliofariki?
 
JWTZ ni watumishi wa kuheshimiwa sana maana wanakesha kulinda mipaka yetu sisi tunalala majumbani kwetu. Wanafanya kazi ya kizalendo kabisa kwa ajili ya ustawi wa nchi yetu.
 
Alikuwa kwenye maandalizi ya sikukuu ya Uhuru akiwa kikundi Cha landing Kutoka kwenye helicopter unfortunately alilipukiwa na bomu
Da haina haja ya watu kujua story za mtu muhimu kama huyu kwenye social nert kama hii.
Namkubali sana Mpwa J,c Kabipe
Bonge la Jemedari ndani ya komandoo fani.
Na machungu sana juu ya huyu kiumbe.
Tanzania imepoteza shujaa komando ndani ya medani ya kivita.
Rest in piece LuteinJC Kabipe.


Kumpoteza komandoo mmoja sawa na Ccm 1000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…