Masota: Bongo fleva artist na komandoo wa JWTZ afariki dunia

Wanacholipwa JWTZ hakiitwi mshahara ila ni posho. Hivi wakitaka walipwe mshahara unadhani kwa akili yako mbovu hivi mtaweza kweli.
Tanzania kwa unafiki tunashinda dunia. Iitwe posho mshahara au kifuta jasho au machozi Wanalipwa stahiki zao kwa elimu yao na kazi yao

Nani muhimu kati ya Mwanajeshi na Mwalimu

Mwalimu ni muhimu kuliko mwanajeshi na hatuna cha kuwalipa sio hao wanaoambiwa na makonda wapande miti
 
Nini kimemsibu? Too young to die.
Siku ikifika imefika mkuu, huu msemo wa too youn to die huwa unanivuruga, kifo hakijawekwa kwa watu waliokula chumvi tu, kama yeye ni too young to die, vip watoto wadogo na vipi watoto wachanga!?

Yote kwa yote kila nafsi itaonja umauti..
R.i.p kaka kamanda komando.
 
huyu ni yule alikuwa anafanya mazoezi ya mazimisho ya uhuru bomu likamlipukia apumzike kwa amani ni pigo sana na maumivu makali aliyopitia kabla ya kifo chake akika duniani tunapita tu
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji24] [emoji24] [emoji24]

Vyote ni vifo, lakin vifo vingine nachelea kusema ni vibaya.
R.i.p
 
SIKU HIZI KILA MWANAJESHI AKIFA ANAITWA KOMANDOO
 
mkuu mbna hujasema alikuwa anaumwa au kitu gani ndio kimemuua
 

hizi taarifa mbna serekali inazificha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…