Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Yote yanayotokea ktk Serikali hii ya kidhalimu, yalisemwa na mkombozi number 1 wa Rathilimali za Taifa Tundu Lissu kabla na sasa yametimia.
 
Hawa watu sijui walipandikizwa akili za aina gani! Maana hata hao punda wako na uafadhali
Kwanza huyo mpuuzi eti cocochanel anajigamba kua maarufu sana JF eti anajina ....nimshamba tu wawe wanaji expose hata tuforum twa njee kam Nairaland waone pple with substance jinsi wanajenga hoja.....niafadhali watu wako mirembe kuliko mashabiki ya mafisiem!!
 
Kuna uzi ulianzishwa humu wa picha ya JULI BRISKMAN,mwanamke aliyeuoneshea kidole cha kati msafara wa rais trump

Ikatumika hyo picha kusifia kuwa U.S.A kuna uhuru "wa raia kutoa maon" na kwamba huyo mama angefanya hivyo tanzania angekamatwa

Lakin MWENYEZ MUNGU SI ATHUMAN
yule mama akafukuzwa kazi na kukamatwa kwa kudhihak na kutusi

Ule uzi ulipotea humu,
Sasa tatizo la kudhan kuwa serikal n dampo la kutupia kila upuuz linatucost upinzan Tanzania
Uhuru una mipaka na mipaka yake n pale ambapo haki na utu wa mwingine unaanzia
Mada umeielewa? Au ndio umeshazimua mbili baridi?
 
Ni zamu yake imefika tu, na kwa sasa hakuna aliye salama hata yeye anaye ishi pale Magogoni hayupo salama kwa sababu wananchi wanahasira naye.
Tuombee tanzania yetu, tuache maombezi ya wasiotaka TOBA.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watampa promo ya maana sana kama watamkamata.
Na kama ni kweli basi kuna haja bwana mkubwa kuangalia utendaji kazi wa baddhi ya wasaidizi wake maana izi kamata kamata sasa mpaka mchora Katuni?

Huko kumkamata ndo moja ya vitu vitavyoichonganisha serikali na wananchi!
 
Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi.

Habari24UPDATES
This government is fucking shit !! kuna siku tutaingia msituni tuitoe serikali kwa nguvu we cant live like this
 
Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi.

Habari24UPDATES
Kwa ninachojua huwezi kumshtak ukamshinda huyu mchora cartoon kwanza hajaeleza hata ni serikali IPI inayotumia kodi kama silaha ya mwisho.
 
Masoud Kipanya pia anapaswa kuelewa kuwa KODI siyo silaha ya MAANGAMIZI. Kila nchi duniani watu wanalipa kodi, hakuna taifa ambalo raia wake hawalipi kodi.

Hapa Tanzania, raia wanaichukia kodi sababu walizoea kuishi maisha ya kukwepa kulipa kodi. Sasa hivi wamekutana na Serikali MAKINI yenye kukusanya kodi, wanaiona kodi ni kama mateso. Ndiyo maana akina Masoud wanachora michoro inayo-depict kodi kama silaha ya kuwaangamiza wananchi.

Kwa weledi na exposure aliyoanayo Masoud Kipanya hakupaswa kuchora mchoro kama huo. Yeye ni mtu ambaye yupo kwenye sekta ya habari na anaelewa sana umuhimu wa kodi kwa taifa hili.

Ingawa hana kesi ya kujibu lakini ukweli ni kwamba amekosea sana. He should have done better.
 
Wewe inaonekana ulisomeshwa kwa gharama za Papuchi, The sacrificed papuchi in favour of Nyani Ngabu, Una mawazo mgando sana

Nina mawazo mgando kivipi sasa?

Nahisi hata hujaelewa ulichokisoma wewe.
 
Back
Top Bottom