Kwani kila siku anachora katuni zenye ujumbe unaofanana?Hii ni mbaya sana huyu mtu amekuwa mchora katuni wa miaka mingi sana kama.ni kutuchochea c angeshatuchochea jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kila siku anachora katuni zenye ujumbe unaofanana?Hii ni mbaya sana huyu mtu amekuwa mchora katuni wa miaka mingi sana kama.ni kutuchochea c angeshatuchochea jamani
Kwanza huyo mpuuzi eti cocochanel anajigamba kua maarufu sana JF eti anajina ....nimshamba tu wawe wanaji expose hata tuforum twa njee kam Nairaland waone pple with substance jinsi wanajenga hoja.....niafadhali watu wako mirembe kuliko mashabiki ya mafisiem!!Hawa watu sijui walipandikizwa akili za aina gani! Maana hata hao punda wako na uafadhali
Mada umeielewa? Au ndio umeshazimua mbili baridi?Kuna uzi ulianzishwa humu wa picha ya JULI BRISKMAN,mwanamke aliyeuoneshea kidole cha kati msafara wa rais trump
Ikatumika hyo picha kusifia kuwa U.S.A kuna uhuru "wa raia kutoa maon" na kwamba huyo mama angefanya hivyo tanzania angekamatwa
Lakin MWENYEZ MUNGU SI ATHUMAN
yule mama akafukuzwa kazi na kukamatwa kwa kudhihak na kutusi
Ule uzi ulipotea humu,
Sasa tatizo la kudhan kuwa serikal n dampo la kutupia kila upuuz linatucost upinzan Tanzania
Uhuru una mipaka na mipaka yake n pale ambapo haki na utu wa mwingine unaanzia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni zamu yake imefika tu, na kwa sasa hakuna aliye salama hata yeye anaye ishi pale Magogoni hayupo salama kwa sababu wananchi wanahasira naye.
Tuombee tanzania yetu, tuache maombezi ya wasiotaka TOBA.
Ukiisoma picha hiyo kwa makini utagundua kuwa serukali haina kitu. Labda wanadhani ni udhalilishaji wa serikaliteeehhh
Wewe unaonaje kwan mwelevi wa chaviMada umeielewa? Au ndio umeshazimua mbili baridi?
Watampa promo ya maana sana kama watamkamata.
Na kama ni kweli basi kuna haja bwana mkubwa kuangalia utendaji kazi wa baddhi ya wasaidizi wake maana izi kamata kamata sasa mpaka mchora Katuni?
This government is fucking shit !! kuna siku tutaingia msituni tuitoe serikali kwa nguvu we cant live like thisMchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi.
Habari24UPDATES
The only worry ni kum Ben Saanane au Kum Azory, there is no case to answer!Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi
View attachment 665587
chanzo: Chadema in Blood
Kwa ninachojua huwezi kumshtak ukamshinda huyu mchora cartoon kwanza hajaeleza hata ni serikali IPI inayotumia kodi kama silaha ya mwisho.Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi.
Habari24UPDATES
Yani ni shida inabidi wakamuulize Jerry muro sasa yupo wapi?Halafu unaweza kukuta ni kapuku balaa !
Wewe inaonekana ulisomeshwa kwa gharama za Papuchi, The sacrificed papuchi in favour of Nyani Ngabu, Una mawazo mgando sanaKama ni kweli, uchochezi hapo ni yeye kukamatwa na si vinginevyo!
Jamaa haijielewi kabisa aiseeuweledi my foot
Umeandika mashuduWewe unaonaje kwan mwelevi wa chavi
Wewe inaonekana ulisomeshwa kwa gharama za Papuchi, The sacrificed papuchi in favour of Nyani Ngabu, Una mawazo mgando sana
Buku saba hao mkuu" Wameona anameona " ndiyo nn hii