Bila polisi ni wepesi... MdeeMfyuuu eti mkoloni mweusi hahah yaani nyie vijana mtaendelea kuwa makarai for the rest of lives maana sijaona mzalendo..wengi wenu mko na ujasiri nyuma ya keyboard mkiwekwa hadharani mnalia Lia..kama wajiamini jiweke account yako verified ili upambane nao vizuri.Tulizeni mshono nyie.
Mkuu,sidhani kama Jeshi letu lina wasomi wa sheria..Katuni haionyeshi uchochezi ni upi,na wala haikutajwa ni serikali ya kenya,burundi au uganda.
Mbona kakumalizaNina mawazo mgando kivipi sasa?
Nahisi hata hujaelewa ulichokisoma wewe.
JamiiForums hii habari inastahili kukaa jukwaa la siasa.Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi.
View attachment 665630
subiri muda ufike atakalishwa chini kama ombaomba wa kariakoo[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Huyu wa sasa eti hajaribiwi.
Wote waliotangulia walikuwa wanapasha kiti moto ili yeye mteule wa Mungu aje. Sasa kaja, na hakuna mwenye akili kumzidi yeye Tanzania yote.
....Kwa hiyo watu wasiongee simply polisi wanafanya kazi yao? Wewe hufanyi kazi? Wakulima hawafanyi kazi? ...Mbona kila siku polisi wanaomba ushirikiano kwa jamii hii hii unayoitaka ifunge mdomo?tuache jeshi la polisi wafanye kazi yao kwani kama wamemkamata wameona anameona kuwa anakesi ya kujibu kwa kuzingatia uweledi
Nyani NgabuWewe inaonekana ulisomeshwa kwa gharama za Papuchi, The sacrificed papuchi in favour of Nyani Ngabu, Una mawazo mgando sana
Kama sisi Wana-CCM ni mazezeta na CCM ndiyo inayokutawala, basi wewe ni zaidi ya "zezeta" kukubali kutawaliwa na "mazezeta".Haya ndio maoni ya mazezeta wa ccm
....Mnapenda kunyoosha nchi ila kutubu hamtaki, mnawaita TiaraeiMagufuli nyoosha nchi wazalendo tunakusapoti
thread in page 17 wewe ndio unaleta!Nimeambiwa kuwa Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi.
Chanzo: [HASHTAG]#Habari24UPDATES[/HASHTAG]