Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Mfyuuu eti mkoloni mweusi hahah yaani nyie vijana mtaendelea kuwa makarai for the rest of lives maana sijaona mzalendo..wengi wenu mko na ujasiri nyuma ya keyboard mkiwekwa hadharani mnalia Lia..kama wajiamini jiweke account yako verified ili upambane nao vizuri.Tulizeni mshono nyie.
Bila polisi ni wepesi... Mdee
 
Katuni haionyeshi uchochezi ni upi,na wala haikutajwa ni serikali ya kenya,burundi au uganda.
Mkuu,sidhani kama Jeshi letu lina wasomi wa sheria..

Huwezi kumfunga mchora katuni labda umtese kama wanavyowekaweka watu ndani tu!

Tujiulize.. Huyo mtu hapo ndio serikali?
 
Hii sasa hapana. Waandishi wa habari lindeni taaluma yenu taifa litawakumbuka.
 
Hakuna jipya atapimwa mkojo alafu watamrelease,neno uchochezi halina maana yeyote awamu ya tano.
 
mi naona Hajachochea kaelimisha, pengine waliomkamata hawajaelewa vizuri io picha ni vizuri wakarudi fom 3 Wakasome vizuri fasihi

Nafikiri kwenye hio katuni kipanya anataka kuieleza jamii kuwa serikali inategemea kodi kuendesha shughuli zake za kila siku, na hio ni kweli serikali zote duniani hutegemea mapato ya kodi kuendesha shughuli zote za kiserikali kama kulipa mishahara, kulipa miradi ya maendeleleo n.k.

Serikali nyingine kama za uarabuni wana bahati, wanaweza kuchimba mafuta wakaendesha nchi lakini bado hitaji la kukusanya kodi liko pale pale ko nimemwelewa mchoraji kuwa kodi ndio silaha pekee inayotegemewa kuendesha serikali.

Hivo basi ni vizuri vyombo vyetu vya dola vikaelewa fasihi kwa mapana na marefu yake
 
tuache jeshi la polisi wafanye kazi yao kwani kama wamemkamata wameona anameona kuwa anakesi ya kujibu kwa kuzingatia uweledi
....Kwa hiyo watu wasiongee simply polisi wanafanya kazi yao? Wewe hufanyi kazi? Wakulima hawafanyi kazi? ...Mbona kila siku polisi wanaomba ushirikiano kwa jamii hii hii unayoitaka ifunge mdomo?
 
Nimeambiwa kuwa Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi.

Chanzo: [HASHTAG]#Habari24UPDATES[/HASHTAG]
 
Nimeambiwa kuwa Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi.

Chanzo: [HASHTAG]#Habari24UPDATES[/HASHTAG]
thread in page 17 wewe ndio unaleta!
 
Back
Top Bottom