Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Hivi kwa akili yako; kama kuna lolote lililomkuta unadhani linahusiana na kazi yake pale Clouds?!
Ni 'gharama' za uzalendo wanaouhubiri kwny Tv yao daily.
 
Ile kauli yamsifikiri mna Uhuru wa kiasi hicho unatimia pale shetani anapoongoza pepo.
 
Kila mtu ana namna ya kutafsiri picha ama mchoro. Mimi ndivyo nilivyoutafsiri huo mchoro. Kama unataka nikatoe ushahidi mahakamani niko tayari.
Au wewe hujui kuwa kunamsemo unaosema; "a picture is worth a thousand words?
Siyo mahakamani, sheria ya ushahidi katu haina kipengele hicho!
 
Km habari za kutubu vile ndo zinatafutiwe dustbeen!!!?
 

Unaifahamu Nchi inaitwa Brunei [emoji1057] Nenda ukapate habari za uko Sahau kuhusu kodi Uko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…