Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni 'gharama' za uzalendo wanaouhubiri kwny Tv yao daily.Hivi kwa akili yako; kama kuna lolote lililomkuta unadhani linahusiana na kazi yake pale Clouds?!
inamaana ujaona hii taarifa?Kumbe hajulikani alipo sasa wewe ulipotangaza kuwa amekamatwa na Polisi??
Uongozi wa Clouds Media Group (CMG) unawaomba wananchi wote nafasi ya utulivu wakati tukiendelea kuzifanyia kazi taarifa kamili wapi alipo masoudkipanya Uongozi utaoa majibu ya kina.
Kilichomponza,sirikali ni a$$
Siyo mahakamani, sheria ya ushahidi katu haina kipengele hicho!Kila mtu ana namna ya kutafsiri picha ama mchoro. Mimi ndivyo nilivyoutafsiri huo mchoro. Kama unataka nikatoe ushahidi mahakamani niko tayari.
Au wewe hujui kuwa kunamsemo unaosema; "a picture is worth a thousand words?
Atapotezwa kama Azory tusipopaaza sauti nawambia. Roma sauti zilikuwa za juu sana, akaonekana...Uongozi wa Clouds Media Group (CMG) unawaomba wananchi wote nafasi ya utulivu wakati tukiendelea kuzifanyia kazi taarifa kamili wapi alipo masoudkipanya Uongozi utaoa majibu ya kina.
mi naona Hajachochea kaelimisha, pengine waliomkamata hawajaelewa vizuri io picha ni vizuri wakarudi fom 3 Wakasome vizuri fasihi
Nafikiri kwenye hio katuni kipanya anataka kuieleza jamii kuwa serikali inategemea kodi kuendesha shughuli zake za kila siku, na hio ni kweli serikali zote duniani hutegemea mapato ya kodi kuendesha shughuli zote za kiserikali kama kulipa mishahara, kulipa miradi ya maendeleleo n.k.
Serikali nyingine kama za uarabuni wana bahati, wanaweza kuchimba mafuta wakaendesha nchi lakini bado hitaji la kukusanya kodi liko pale pale ko nimemwelewa mchoraji kuwa kodi ndio silaha pekee inayotegemewa kuendesha serikali.
Hivo basi ni vizuri vyombo vyetu vya dola vikaelewa fasihi kwa mapana na marefu yake
Swali langu lilikuwa straight forward ambalo lilitokana na tone ya comment yako ya kwanza!Ni 'gharama' za uzalendo wanaouhubiri kwny Tv yao daily.