Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Ile kauli yamsifikiri mna Uhuru wa kiasi hicho unatimia pale shetani anapoongoza pepo.
 
d534c7e2268cbb3334ed89c7ad0d52ac.jpg
Kilichomponza,sirikali ni a$$
 
Kila mtu ana namna ya kutafsiri picha ama mchoro. Mimi ndivyo nilivyoutafsiri huo mchoro. Kama unataka nikatoe ushahidi mahakamani niko tayari.
Au wewe hujui kuwa kunamsemo unaosema; "a picture is worth a thousand words?
Siyo mahakamani, sheria ya ushahidi katu haina kipengele hicho!
 
Km habari za kutubu vile ndo zinatafutiwe dustbeen!!!?
 
mi naona Hajachochea kaelimisha, pengine waliomkamata hawajaelewa vizuri io picha ni vizuri wakarudi fom 3 Wakasome vizuri fasihi

Nafikiri kwenye hio katuni kipanya anataka kuieleza jamii kuwa serikali inategemea kodi kuendesha shughuli zake za kila siku, na hio ni kweli serikali zote duniani hutegemea mapato ya kodi kuendesha shughuli zote za kiserikali kama kulipa mishahara, kulipa miradi ya maendeleleo n.k.

Serikali nyingine kama za uarabuni wana bahati, wanaweza kuchimba mafuta wakaendesha nchi lakini bado hitaji la kukusanya kodi liko pale pale ko nimemwelewa mchoraji kuwa kodi ndio silaha pekee inayotegemewa kuendesha serikali.

Hivo basi ni vizuri vyombo vyetu vya dola vikaelewa fasihi kwa mapana na marefu yake

Unaifahamu Nchi inaitwa Brunei [emoji1057] Nenda ukapate habari za uko Sahau kuhusu kodi Uko
 
Back
Top Bottom