Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Anamchora bichwa mkuu Kira ck anamwangalia tu
Sasa Ngoja ashughulikiwe
Lisu alisema wakiisha wanasiasa itakua zamu ya raia
 
Pole wewe, unaeogopa kivuli chako. Naona dawa imekuingia mkoloni mweusi ni hatari sana.
 
Duh Hii ndio Imemponza?
Siku nyingi kaacha kumchora Sizonje na bichwa lake la ngeu maana vitisho vilizidi

Siku hizi anatumia tu fasihi bila kumchora mtu au sura na ujumbe unagusamfupa
 
Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi.
View attachment 665630
Watu wengine kama kukurupuka tuu kwani hapo kaandika kama ni nchi hii haiyo katuni au ni serikal na mambo yake kujishtukia tuu
 
Lakini mamlaka zinahangaika na wachora katuni...hii nchi ni ya msiba
Wachora katuni sio watu wadogo, esp wachora katuni za kisiasa na za kijamii, nchi nyingi wachora katuni wamesababisha madiliko makubwa tu kutokana na katuni zao,

Kwa hivyo hapo ni kujadili kama kweli ana hatia au hana..!?
 
Mkuu cocochanel akili yake na wema na makonda kama wana tofauti basi ni ndogo sana ni sawa na ile tofauti iliyopo kati ya dini na siasa. Ni ndogo sana labda kwa kina gambo na kigwangwala wazir wa tweeter
 
Mmmmmmh clouds fm yamewakuta tena


Kuvamiwa na Bashite



Kuzuiwa majogoo kwa jukwaa la tigo fiesta


Moto kuwaka chumba cha kurekodia



Wanaanza mwaka kwa mtangazaji wao kutoweka kusikojulikana
 



Aisee 2020 binafsi nitapiga tiki eneo lingine ilimradi sio la kijani mpaka nichane karatasi...


Wakiiba,na waibe tu...

Nina hasira sana


[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]
 
Mkuu wewe hutaki kuwaambia ?
Yeye atakuwa yupo mbali sana nje ya Dar. Nje ya Dar ni mbali sana hata jpm alipochaguliwa mabalozi walipoenda kumwona akala kona badala yake wakapokewa na mahiga tukaambiwa rais alikuwa nje ya Dar. Unakufahamu nje ya Dar wewe?
 
Wachora katuni sio watu wadogo, esp wachora katuni za kisiasa na za kijamii, nchi nyingi wachora katuni wamesababisha madiliko makubwa tu kutokana na katuni zao,

Kwa hivyo hapo ni kujadili kama hilo kosa kweli analo au hana..!?
Nakubali.
 
Mfalme wetu na nguo yake ya ajabu.... Tujipange barabarani kumsubiri apite na nguo lake. Anataka kuchorwa na masifa kedekede ole wako umkosoe [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Watu wengine kama kukurupuka tuu kwani hapo kaandika kama ni nchi hii haiyo katuni au ni serikal na mambo yake kujishtukia tuu
Si ndio kama Kakobe, kasema unautajiri kuzidi serikali, basi bashite akawaagiza TRA wamkague!!! Hahahaaaaaaaa maoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…