Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole wewe, unaeogopa kivuli chako. Naona dawa imekuingia mkoloni mweusi ni hatari sana.Mfyuuu eti mkoloni mweusi hahah yaani nyie vijana mtaendelea kuwa makarai for the rest of lives maana sijaona mzalendo..wengi wenu mko na ujasiri nyuma ya keyboard mkiwekwa hadharani mnalia Lia..kama wajiamini jiweke account yako verified ili upambane nao vizuri.Tulizeni mshono nyie.
Huyu huenda asionekane tena!![emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]![]()
Siku nyingi kaacha kumchora Sizonje na bichwa lake la ngeu maana vitisho vilizidiDuh Hii ndio Imemponza?
Watu wengine kama kukurupuka tuu kwani hapo kaandika kama ni nchi hii haiyo katuni au ni serikal na mambo yake kujishtukia tuuMchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi.
View attachment 665630
Wachora katuni sio watu wadogo, esp wachora katuni za kisiasa na za kijamii, nchi nyingi wachora katuni wamesababisha madiliko makubwa tu kutokana na katuni zao,Lakini mamlaka zinahangaika na wachora katuni...hii nchi ni ya msiba
Mkuu cocochanel akili yake na wema na makonda kama wana tofauti basi ni ndogo sana ni sawa na ile tofauti iliyopo kati ya dini na siasa. Ni ndogo sana labda kwa kina gambo na kigwangwala wazir wa tweeterKwanza huyo mpuuzi eti cocochanel anajigamba kua maarufu sana JF eti anajina ....nimshamba tu wawe wanaji expose hata tuforum twa njee kam Nairaland waone pple with substance jinsi wanajenga hoja.....niafadhali watu wako mirembe kuliko mashabiki ya mafisiem!!
Umemàliza? Maana povu limekutoka sana, halafu unafananisha USA na Uturuki? Ufahamu wako naona umepungua sàna. Nchi zote zinazominya demokrasia ndio zenye sheria kandamizi, mfn: Russia, Uturuki, Irani, Tanzania, Rwànda, Uganda na zingine nyingi tu. Làkini nchi zenye uhuru wa demokrasia mfn: USA, UK, Germàny, Kenya na NK hutaona upumbavu kama huo.
Yeye atakuwa yupo mbali sana nje ya Dar. Nje ya Dar ni mbali sana hata jpm alipochaguliwa mabalozi walipoenda kumwona akala kona badala yake wakapokewa na mahiga tukaambiwa rais alikuwa nje ya Dar. Unakufahamu nje ya Dar wewe?Mkuu wewe hutaki kuwaambia ?
Sheria zipo na watu wanacheza nazo hizo sheria kila siku na wanashinda kesi. Sheria ni ujanja wa kuitafsiri tu basi.Siyo mahakamani, sheria ya ushahidi katu haina kipengele hicho!
Nakubali.Wachora katuni sio watu wadogo, esp wachora katuni za kisiasa na za kijamii, nchi nyingi wachora katuni wamesababisha madiliko makubwa tu kutokana na katuni zao,
Kwa hivyo hapo ni kujadili kama hilo kosa kweli analo au hana..!?
Una uhakika wasiojulikana ndo wamembeba au umecoment tuuKHEE YAMEKUWA HAYO?AU WASIOJULIKANA WANAUFUNGUA MWAKA??!!
wao ndio wanaeKama kwl serikal fanyeni apatikane jaman...does not fear kabisa
Si ndio kama Kakobe, kasema unautajiri kuzidi serikali, basi bashite akawaagiza TRA wamkague!!! Hahahaaaaaaaa maoka.Watu wengine kama kukurupuka tuu kwani hapo kaandika kama ni nchi hii haiyo katuni au ni serikal na mambo yake kujishtukia tuu