marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 987
SijakuelewaKama kwl serikal fanyeni apatikane jaman...does not fear kabisa
Wao clouds kila siku wanatunga nyimbo sijui uzalendo nini.
Acha waone waone 'gharama' za uzalendo kule selo.
Asingekuwa na mamlaka ni kama hali ilivyo sasa nchini Zimbabwe Mugabe hawezi kufanya lolote juu ya serikaliStill wakiambiwa wakatubu wanaleta viroja na vitissho!!
I wish Mwlm Nyerere angekuwa hai na naamini asingekubali mambo ya hovyo yanayoendelea sasa kwq hawa miungu watu!!!
VViongozi wastaafu waliopo wanaogopa kukemea kwani wanajua wataambiwa wanawashwa washwa na hawajui yule jamaa ataamuru wakunwe kwa nyenzo ipi ili wanyamaze!!!
This is becoming too much; huyu mvaa hirizi kiunoni na bashite wake ni lazima adhibitiwe haraka; asifikiri kutawala nchi ni sawa na kutawala nyumba yake.
Kajambe huko..Huku kitaa watu wanachukuliwa tunashuhudia ,2 cases tumeona
Ndugu zanguni nawapa ushauri tu kwenye public places msipende kukosoa ,..wamesambaswa kibao awamu hii
Maneno makali sana hayo dada yangu!!Niambie ndugu yangu
Big up mkuu.I could not put it any better! Big up
Ule uzi wa Msoud kukamatwa na polisi naona umefungwa. Na huu pia unaweza ukafungwa pia ili tusiuchangie.Uongozi wa Clouds Media Group (CMG) unawaomba wananchi wote nafasi ya utulivu wakati tukiendelea kuzifanyia kazi taarifa kamili wapi alipo masoudkipanya Uongozi utaoa majibu ya kina.
Tehetehe mvaa hiriziToo much, hata Idi Amin hakuwa na kasi kama ya huyu mvaa hirizi.
Maneno makali sana hayo dada yangu!!
MlumumbaBavicha wachunguzwe
PointWatanzania kusikitika mitandaini haisaidi kitu, tafadhali do something.
mtatekwa mpaka lini ?????????????????
Acha utani bhana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu nilikuwa sijagunduaKilichomponza,sirikali ni a$$