Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Still wakiambiwa wakatubu wanaleta viroja na vitissho!!

I wish Mwlm Nyerere angekuwa hai na naamini asingekubali mambo ya hovyo yanayoendelea sasa kwq hawa miungu watu!!!

VViongozi wastaafu waliopo wanaogopa kukemea kwani wanajua wataambiwa wanawashwa washwa na hawajui yule jamaa ataamuru wakunwe kwa nyenzo ipi ili wanyamaze!!!
Asingekuwa na mamlaka ni kama hali ilivyo sasa nchini Zimbabwe Mugabe hawezi kufanya lolote juu ya serikali
 
This is becoming too much; huyu mvaa hirizi kiunoni na bashite wake ni lazima adhibitiwe haraka; asifikiri kutawala nchi ni sawa na kutawala nyumba yake.

Hivi kwanini Msitumie for once kichwa badla ya matakoooo kufikiri. Kwanini unawaza ujinga tu kwenye maswala serious. Kwanini usiwe wewe. I will repeat if dolla really wants you dead then you must be a threat to once life. Mnajipa hadhi kubwa sana. Mkifikiria Watu hawana kazi wanawaza Watu kama nyie. Tena kwa akili hiii si ajabu mkawa nyie ndo watendaji. Siku hizi Watu mnasahau kabisa kuwa wengi Tuna. Uovu na ndo tunaolala na kula nao. Watu wa fikra Kama wewe mnaweza kuwa ndo watendaji ili Mprove point zenu.
 
Huku kitaa watu wanachukuliwa tunashuhudia ,2 cases tumeona

Ndugu zanguni nawapa ushauri tu kwenye public places msipende kukosoa ,..wamesambaswa kibao awamu hii
Kajambe huko..
 
Huyo jamaa nae atapotezwaa mda so mrefuu...!! Siku zile mkulu kajidai anamsifia kinafikii etii ananichoraa na nunduuu... Kumbee wanataka kumzimaa kamaa taaa...
 
Ninyi clouds hasa uongoz ni wapuuz sana,watu wenyewe hawahawa wamewajia na mtutu lkn Kwa ulofa wenu mkwawa bado mnarusha matangazo Yao tena Kwa mbwembwe Leo mwenzenu kadakwa vitu vya kipuuz kisa tu likatuni la italahamwe la Kodi hafu bado mtakuwa mkirusha mambo yao achen ulofa huo! Hapo kama mbwai nà i23
 
Back
Top Bottom