justine lowasa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 727
- 794
hujakaona hako kazee kachafu kaliko dhoofika ( tanzania ) kamebeba silaa ya nuclear ( tozo , faini za magari, ushuru na makato) ndo silaha yake pekee ilo baki kakiilipua hiyo na kenyew kanakufaiko wapi hiyo katuni
hackers wasingeandika amesaidiaKuandika kwenye akaunti yake haithibitishi kuwa yuko huru au mahali salama.
Kuna uwezekano HACKERS ndio wamepost ili kurudisha hali ya utulivu.
Itakuwa njema kama yupo salama.hackers wasingeandika amesaidia
Huo uchochezi sasa kwanini unasema kwa wananji umeme ume katika mara 5?Tangu mwaka 2018 uingie Mpaka muda huu umeme umekatika na kuwaka huku kwetu zaidi ya mara 5.
Inawezekana maana watu maranyingi katika simu awalog out kama katekwa maanake na simu wanazo wanao uwezo wakupost chochote katika account zake maana Tweeter facebook na insta kasema maneno hayo hayo tutajua tusubiriKuandika kwenye akaunti yake haithibitishi kuwa yuko huru au mahali salama.
Kuna uwezekano HACKERS ndio wamepost ili kurudisha hali ya utulivu.
Tusubiri muda si mrefu yote yatakuwa wazi na ukweli tutaufahamu.Inawezekana maana watu maranyingi katika simu awalog out kama katekwa maanake na simu wanazo wanao uwezo wakupost chochote katika account zake maana Tweeter facebook na insta kasema maneno hayo hayo tutajua tusubiri
Wameandika AMESAIDIA ili wewe useme sio hacker.[emoji3]hackers wasingeandika amesaidia
Dah!naililia Tanzania yangu naiona inapoelekea si salama ila km kuna watu wanajitahidi kwa kila hali kuipeleka kwenye shimo la moto.Itakuwa njema kama yupo salama.
watu wakisema wanaonekana wanachonga. hatukuyazoea haya sisi.
Huyo Ruge mwenyewe anaweza kumfanya mfanyakazi wake 'hamna' kwa maelekezo ya diktetaSo ilikuwa UZUSHI sio? Maana mwajiri wa Clouds Media alisema ni UZUSHI..
Mbegu zinazopandwa zitakuja kutoa mavuno mabaya sana mbele ya safari.Dah!naililia Tanzania yangu naiona inapoelekea si salama ila km kuna watu wanajitahidi kwa kila hali kuipeleka kwenye shimo la moto.
Mungu iokoe Tanzania,ikawe tena kisiwe cha Amani na furaha sio km sasa ni mashokoro mageni,lugha gongana yaani tumepotezana km waliokuwa wanajenga mara wa Babeli.
Lord help us!