Tatizo la Waafrika ni unafiki,hatupendi kuambiwa ukweli.Msema kweli uchukiwa na kubughudhiwa kwa kilanamna.Mnafiki,anayejipendekeza hupongezwa na kufurahiwa.Hiki ndicho kifo cha Afrika.
Kitu pekee cha kuisaidia Afrika,ni kuisemea ukweli hata kama unauma.Unfortunately mataifa nyonyi huingia kwenye kunyonya rasilimali kwa kutupaka mgongo wa mafuta.
Opposition parties zimezuiwa kutekeleza wajibu wake wa kisheria,hatukemei!tunaangalia tu.
Viongozi wa kiroho wananyamazishwa,tumekaa kimya.
Media 4th estate inanyo'ngwa tumekaa kimya.
Lawyers wanakuwa threatened tumekaa kimya.