Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

So ilikuwa UZUSHI sio? Maana mwajiri wa Clouds Media alisema ni UZUSHI..
 
Me nasubiria kesho nimsikie laivu ndo ntaamini
 
Tangu mwaka 2018 uingie Mpaka muda huu umeme umekatika na kuwaka huku kwetu zaidi ya mara 5.
Huo uchochezi sasa kwanini unasema kwa wananji umeme ume katika mara 5?
Ukapimwe haja zote za mwili na za roho!!ndio utaacha kuchochea moto kwa wananji.!
 
Kuandika kwenye akaunti yake haithibitishi kuwa yuko huru au mahali salama.
Kuna uwezekano HACKERS ndio wamepost ili kurudisha hali ya utulivu.
Inawezekana maana watu maranyingi katika simu awalog out kama katekwa maanake na simu wanazo wanao uwezo wakupost chochote katika account zake maana Tweeter facebook na insta kasema maneno hayo hayo tutajua tusubiri
 
[emoji116]
 
Attachments

  • IMG_20180101_221916_641.JPG
    IMG_20180101_221916_641.JPG
    19 KB · Views: 31
Inawezekana maana watu maranyingi katika simu awalog out kama katekwa maanake na simu wanazo wanao uwezo wakupost chochote katika account zake maana Tweeter facebook na insta kasema maneno hayo hayo tutajua tusubiri
Tusubiri muda si mrefu yote yatakuwa wazi na ukweli tutaufahamu.
 
Kwa hiyo KP muda wote(masaa mengi) habari zinasambaa kwa nini hakujitokeza haraka kukanusha...!!!
 
Itakuwa njema kama yupo salama.
Dah!naililia Tanzania yangu naiona inapoelekea si salama ila km kuna watu wanajitahidi kwa kila hali kuipeleka kwenye shimo la moto.
Mungu iokoe Tanzania,ikawe tena kisiwe cha Amani na furaha sio km sasa ni mashokoro mageni,lugha gongana yaani tumepotezana km waliokuwa wanajenga mara wa Babeli.
Lord help us!
 
Tatizo la Waafrika ni unafiki,hatupendi kuambiwa ukweli.Msema kweli uchukiwa na kubughudhiwa kwa kilanamna.Mnafiki,anayejipendekeza hupongezwa na kufurahiwa.Hiki ndicho kifo cha Afrika.

Kitu pekee cha kuisaidia Afrika,ni kuisemea ukweli hata kama unauma.Unfortunately mataifa nyonyi huingia kwenye kunyonya rasilimali kwa kutupaka mgongo wa mafuta.

Opposition parties zimezuiwa kutekeleza wajibu wake wa kisheria,hatukemei!tunaangalia tu.

Viongozi wa kiroho wananyamazishwa,tumekaa kimya.

Media 4th estate inanyo'ngwa tumekaa kimya.

Lawyers wanakuwa threatened tumekaa kimya.
 
Dah!naililia Tanzania yangu naiona inapoelekea si salama ila km kuna watu wanajitahidi kwa kila hali kuipeleka kwenye shimo la moto.
Mungu iokoe Tanzania,ikawe tena kisiwe cha Amani na furaha sio km sasa ni mashokoro mageni,lugha gongana yaani tumepotezana km waliokuwa wanajenga mara wa Babeli.
Lord help us!
Mbegu zinazopandwa zitakuja kutoa mavuno mabaya sana mbele ya safari.
 
Back
Top Bottom