Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Ila ukweli ndo huo hata kama serikali ikipinga
 
Nimeangalia kwa makini sana hii katuni ni kweli ina uchochezi si kwa wananchi bali kwa serikali ebu angalia mshika kombola la kodi huku nyuma kagonoka afu cha ajabu kamuongezea mshale kwa nyuma directly kuelekea sehemu ambayo sio sahihi.
kugonoka ndo nini mkuu? wengine tumetoka bara ati.
 
Ujumbe uliopo katika andiko la Masoud ni kuwa ni kwelki alikamatwa ila aliyesambaza taarifa ndiye aliyesaidia kuachiwa kwake vinginevyo ingekuwa hadithi ya Ben au ya kwenye viroba
 
Upo na ID ngapi?
 
Hivi uwa kuna kozi ya kuwatumbua wachochezi polisi uwa wanapitia ktk mafunzo yao ya kipolisi..............au ndo .....
 
"Nitabana kichwa, mikono, na miguu" changanya na zako
 

Hiyo serikali ni ya wapi?
 
Mkuu kodi ina mipaka yake, ndio maana Kuna sera za kodi ambazo hufanyiwa marekebisho kuendana Na mahitaji ya wakati. Sasa basi hapo kwenye marekebisho pakikosewa halafu mkavuka mipaka, kodi inakuwa ndio chanzo cha kuporomoka kwa uchumi wa nchi, rejea [HASHTAG]#TaxEvasion[/HASHTAG] & [HASHTAG]#TaxAvoidance[/HASHTAG]
 
Sirikali bwanaaa!!!! Huwa hawachelewi wala hawawahi!!!
 
Masudi Kipanya ahamie Kenya ili kuendelea vizuri na majukumu yake.Kuna watu humu Tz hawapendi kuelezwa ukweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…