Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kugonoka ndo nini mkuu? wengine tumetoka bara ati.Nimeangalia kwa makini sana hii katuni ni kweli ina uchochezi si kwa wananchi bali kwa serikali ebu angalia mshika kombola la kodi huku nyuma kagonoka afu cha ajabu kamuongezea mshale kwa nyuma directly kuelekea sehemu ambayo sio sahihi.
Upo na ID ngapi?We ndo mnafiki. Kila aonaye tofauti na wewe ni mnafiki. So wewe ndo nafiki Nambari one asiyefikiria kwa kichwa anatumia Pa kunyeaaaa. Hivi nani kakwambia hesabu za maisha ni 1+1=2. siasa ni uchafu mkubwa so think before kuja kuhara utumbo Hapa. „Alaye nami meza moja ndo aniinuliaye kisigino chake „. Think think think. And the man who stopped thinking is equal to a Corpse. Think think think.
Inakuweje mtu anafikia hatua ya kuogopa katuni?Mtenda maovu na wafuasi wake wanahusika.
Swala sio katuni mkuu, swala ni ujumbe katika katuni, lazima tu tumbo la kuharisha lianze kama ujumbe unachoma.Inakuweje mtu anafikia hatua ya kuogopa katuni?
Mkuu unatumia techno au free data nini? Mbona katuni ipo kwenye habari hii.iko wapi hiyo katuni
Picha ya kitu gani? Picha mbona ipo kwenye main topic mpaka kwenye comments ZA watu. Free data haziachi mtu salama!picha tafadhali
Magufuli nyoosha nchi wazalendo tunakusapoti[/QUO
Stupidity at its best
Hivi "UCHOCHEZI" ni sawa na "AWARENESS CREATION", kwa kiingereza? Anayejua anisaidie.
Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi.
View attachment 665630
UPDATE:
JamiiForums imewasiliana na mwajiri wake (Clouds Media Group) na imehakikishiwa kuwa taarifa hizi zinazosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ni UZUSHI.
Yeye (Kipanya) asema aliyesambaza taarifa hizi "AMESAIDIA"
View attachment 665944
Mkuu kodi ina mipaka yake, ndio maana Kuna sera za kodi ambazo hufanyiwa marekebisho kuendana Na mahitaji ya wakati. Sasa basi hapo kwenye marekebisho pakikosewa halafu mkavuka mipaka, kodi inakuwa ndio chanzo cha kuporomoka kwa uchumi wa nchi, rejea [HASHTAG]#TaxEvasion[/HASHTAG] & [HASHTAG]#TaxAvoidance[/HASHTAG]Masoud Kipanya pia anapaswa kuelewa kuwa KODI siyo silaha ya MAANGAMIZI. Kila nchi duniani watu wanalipa kodi, hakuna taifa ambalo raia wake hawalipi kodi.
Hapa Tanzania, raia wanaichukia kodi sababu walizoea kuishi maisha ya kukwepa kulipa kodi. Sasa hivi wamekutana na Serikali MAKINI yenye kukusanya kodi, wanaiona kodi ni kama mateso. Ndiyo maana akina Masoud wanachora michoro inayo-depict kodi kama silaha ya kuwaangamiza wananchi.
Kwa weledi na exposure aliyoanayo Masoud Kipanya hakupaswa kuchora mchoro kama huo. Yeye ni mtu ambaye yupo kwenye sekta ya habari na anaelewa sana umuhimu wa kodi kwa taifa hili.
Ingawa hana kesi ya kujibu lakini ukweli ni kwamba amekosea sana. He should have done better.