Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Nimeangalia kwa makini sana hii katuni ni kweli ina uchochezi si kwa wananchi bali kwa serikali ebu angalia mshika kombola la kodi huku nyuma kagonoka afu cha ajabu kamuongezea mshale kwa nyuma directly kuelekea sehemu ambayo sio sahihi.
kugonoka ndo nini mkuu? wengine tumetoka bara ati.
 
Ujumbe uliopo katika andiko la Masoud ni kuwa ni kwelki alikamatwa ila aliyesambaza taarifa ndiye aliyesaidia kuachiwa kwake vinginevyo ingekuwa hadithi ya Ben au ya kwenye viroba
 
We ndo mnafiki. Kila aonaye tofauti na wewe ni mnafiki. So wewe ndo nafiki Nambari one asiyefikiria kwa kichwa anatumia Pa kunyeaaaa. Hivi nani kakwambia hesabu za maisha ni 1+1=2. siasa ni uchafu mkubwa so think before kuja kuhara utumbo Hapa. „Alaye nami meza moja ndo aniinuliaye kisigino chake „. Think think think. And the man who stopped thinking is equal to a Corpse. Think think think.
Upo na ID ngapi?
 
Hivi uwa kuna kozi ya kuwatumbua wachochezi polisi uwa wanapitia ktk mafunzo yao ya kipolisi..............au ndo .....
 
"Nitabana kichwa, mikono, na miguu" changanya na zako
 
Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi.

View attachment 665630

UPDATE:
JamiiForums imewasiliana na mwajiri wake (Clouds Media Group) na imehakikishiwa kuwa taarifa hizi zinazosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ni UZUSHI.

Yeye (Kipanya) asema aliyesambaza taarifa hizi "AMESAIDIA"

View attachment 665944

Hiyo serikali ni ya wapi?
 
Masoud Kipanya pia anapaswa kuelewa kuwa KODI siyo silaha ya MAANGAMIZI. Kila nchi duniani watu wanalipa kodi, hakuna taifa ambalo raia wake hawalipi kodi.

Hapa Tanzania, raia wanaichukia kodi sababu walizoea kuishi maisha ya kukwepa kulipa kodi. Sasa hivi wamekutana na Serikali MAKINI yenye kukusanya kodi, wanaiona kodi ni kama mateso. Ndiyo maana akina Masoud wanachora michoro inayo-depict kodi kama silaha ya kuwaangamiza wananchi.

Kwa weledi na exposure aliyoanayo Masoud Kipanya hakupaswa kuchora mchoro kama huo. Yeye ni mtu ambaye yupo kwenye sekta ya habari na anaelewa sana umuhimu wa kodi kwa taifa hili.

Ingawa hana kesi ya kujibu lakini ukweli ni kwamba amekosea sana. He should have done better.
Mkuu kodi ina mipaka yake, ndio maana Kuna sera za kodi ambazo hufanyiwa marekebisho kuendana Na mahitaji ya wakati. Sasa basi hapo kwenye marekebisho pakikosewa halafu mkavuka mipaka, kodi inakuwa ndio chanzo cha kuporomoka kwa uchumi wa nchi, rejea [HASHTAG]#TaxEvasion[/HASHTAG] & [HASHTAG]#TaxAvoidance[/HASHTAG]
 
Sirikali bwanaaa!!!! Huwa hawachelewi wala hawawahi!!!
 
Masudi Kipanya ahamie Kenya ili kuendelea vizuri na majukumu yake.Kuna watu humu Tz hawapendi kuelezwa ukweli!
 
Back
Top Bottom