Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'


“Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.”

&

"hate begets hate"
 
Mimi nadhani kilichowaudhi ni jinsi serikali inavoonekana imechoka kwa mujibu wa katuni hiyo na siyo hiyo silaha[emoji2]
 
Kama hii Habari ni kweli!!! aaaaaa huko tuendako sasa tutafikia hatua ya &£#@-_+(/*€¥$¢^°={\✓[[emoji767] [emoji5][emoji5]
 
Sasa huyo sirikali aliyebeba hiyo missile mbona kadhoofu hivyo...hilo halivumiliki, akamatwe tu
 
Lakini ukweli halisi ni kuwa huyo Masoud alidanganya sana kwa kuandika kuwa silaha yetu iliyobaki ni kodi tu TRA. Rwakati bado tunao TCRA. Au Masoud hujui kuwa vituo vya televisheni tunavipa kibano kupitia TCRA!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…