elitee
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 327
- 344
Wamekusikia Brooo, salaam za humu zinafika haraka! Sema tu utakazojibiwa ndio hazitakufikia upesi!Wambieni polisi waache upumbavu na ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekusikia Brooo, salaam za humu zinafika haraka! Sema tu utakazojibiwa ndio hazitakufikia upesi!Wambieni polisi waache upumbavu na ujinga
Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi.
View attachment 665630
UPDATE:
JamiiForums imewasiliana na mwajiri wake (Clouds Media Group) na imehakikishiwa kuwa taarifa hizi zinazosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ni UZUSHI.
Yeye (Kipanya) asema aliyesambaza taarifa hizi "AMESAIDIA"
View attachment 665944
Wewe umeshindwa nini kuwaambia mkuu.......!Wambieni polisi waache upumbavu na ujinga
Na man u kapiga 2Man city jana katoa draw
Ndo utafsiri sasaNa man u kapiga 2
Hanna haja ya kuukimbia upepo.Masudi Kipanya ahamie Kenya ili kuendelea vizuri na majukumu yake.Kuna watu humu Tz hawapendi kuelezwa ukweli!