Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'


Uchochezi huo.......................

Uchochezi huo......

 
MipoliCCM inakamata kama mijibwa isiyotumia akili. Kipanya kakosa nini hadi imkamate hii mitutusa?
 
MipoliCCM inakamata kama mijibwa isiyotumia akili. Kipanya kakosa nini hadi imkamate hii mitutusa?
Unachangia kitu cha January 2018!! Wakati ilikuja kujulikana ni uongo! Uwe unaangalia tarehe mkuu!!
 
Kwani polisi hawana kalamu na karatasi? Si wachore katuni zao za kuipendezesha serikali!
Au waajiri wasanii (mavuvuzela) wafanye kazi ya kuisifia serikali kutwa kucha.

Yaani ni ajabu!
Kajikalamu cha Michuzi kinawashinda akina tibisii, uhulu, chaneli teni na safu nzima ya pale maelezo na wasemaji wao kibao!

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Zilikuwa nyakati ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…