Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

AKIMALIZANA NA SISI ATAKUJA KWA WALE BAADAE WALE KULE... hata wale waliokaribu yake wameanza kukubali kwamba mzee kichwa chake sio kizuri..muda hauongopi
 
Yaani Mara tu baada ya hii taarifa ikabidi nitafute hiyo katuni ya leo niangalie. Polisi ndio wanafanya uchochezi hadi wamesababisha watu tuitafute katuni inayosadikika kuwa ni uchochezi
 
Jambaz akiua polisi dhihaka kwa jeshi la polisi
Polisi akiua jambaz "kwann wamemuua kwa tuhuma tu kwan polisi n mahakama"
Polisi akikamata mhalif ambaye n mwanasiasa "untouchable ones" basi jeshi la polisi linatumika kisiasa
And so and so and so
Sasa najiuliza hawa polisi tunawalipa mishahara ili wafanye kazi gan??

Je n kwel upinzan ukishika dola ndo tutakuwa na nchi ambayo ina uhuru usiojali hako za wengine????
N kwel kuwa upinzan wakipewa nchi wataacha nchi kuwa ya kambare kila mtu ana sharubu ???
Tunawalipa mishahara kwa kulinda watu na Mali zao.

Kuua sio kazi yao. Ndio maana wanapitia mafunzo maalumu ya kukabiliana na waharifu.
 
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] kipanya ???

Too much sasa
 
Mahakamani wakiuluzwa ni wapi ameitaja serikali ya Tanzania watajibu nini maana serikali ziko nyingi katika hii dunia na zote zinatoza kodi.

Hamna kesi hapo bali lengo ni kumtisha tu.
Rangi ya kijani ukiugusa umegusa umegusa serikali
 
Kuna mdau mwingine kakuwahi kwa dakika 5 au 6 kuleta habari hii humu.
 
Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi
View attachment 665587

chanzo: Chadema in Blood
Hii habari inasikitisha kwa kweli maana kipanya ni mwajiliwa wa mwananchi communication(Mwananchi gazeti) hii itakuwa ni aibu kubwa maana gazeti lina muhalili,
kwa mujibu wa procedure mamlaka(management ya mwananchi) ingepewa barua ya onyo, na kuomba radhi kama yalivyo magazeti yaliyo fungiwa mengine(mwanahalisi,mawio, tanzania daima n.k) kumkamata kipanya ni AIBUUU SANA
 
Kuna harufu ya kutokea kama yale ya Ney wa Mitego.. ngoja tuone
 
Adui mkubwa wa mtanzania siyo ukoloni mambo leo ,siyo mkenya ni mtanzania mchumia tumbo.
 
Back
Top Bottom