Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
sidhani kama kuna kitu kinaweza kufanywa na jeshi la polisi la Tanzania nikashangaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila chanzo kina ukakasi kidogoMchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi
View attachment 665587
chanzo: Chadema in Blood
Hela za nini? Za mshahara au marupurupu!?:-/Mnawaonea Bure ebu waulizeni kama wanazo hela.......
Peleka uoga wako huko!! Kutulia ukimaanisha nini!!Haki hakuna aliye salama nyakati hizi.Tujifunze kutulia tu.
Tunawalipa mishahara kwa kulinda watu na Mali zao.Jambaz akiua polisi dhihaka kwa jeshi la polisi
Polisi akiua jambaz "kwann wamemuua kwa tuhuma tu kwan polisi n mahakama"
Polisi akikamata mhalif ambaye n mwanasiasa "untouchable ones" basi jeshi la polisi linatumika kisiasa
And so and so and so
Sasa najiuliza hawa polisi tunawalipa mishahara ili wafanye kazi gan??
Je n kwel upinzan ukishika dola ndo tutakuwa na nchi ambayo ina uhuru usiojali hako za wengine????
N kwel kuwa upinzan wakipewa nchi wataacha nchi kuwa ya kambare kila mtu ana sharubu ???
Lisu hakoseiTundu Lissu alisema....naona maneno yake yanaishi
DPP ndio ataamua kama ana kesi ya kujibu sio Polisi.. wewe hata katiba huijui mwehuutuache jeshi la polisi wafanye kazi yao kwani kama wamemkamata wameona anameona kuwa anakesi ya kujibu kwa kuzingatia uweledi
Mi hapa siuoni uchochezi.. ninachokiona hapa ni kashfa tu kwamba serikali inatumia makalio kufikiri..
Ngoja na mimi nimfumkunyueJitahidi kazi uliyotumwa 2017 ongeza bidii 2018 utafikiriwa post zako za nyuma zinajieleza vizuri.
kachochea uzalendo🙄Amechochea kitu gani?
Rangi ya kijani ukiugusa umegusa umegusa serikaliMahakamani wakiuluzwa ni wapi ameitaja serikali ya Tanzania watajibu nini maana serikali ziko nyingi katika hii dunia na zote zinatoza kodi.
Hamna kesi hapo bali lengo ni kumtisha tu.
Hii habari inasikitisha kwa kweli maana kipanya ni mwajiliwa wa mwananchi communication(Mwananchi gazeti) hii itakuwa ni aibu kubwa maana gazeti lina muhalili,Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi
View attachment 665587
chanzo: Chadema in Blood