Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Wapi kasema mabo ya silaha za maangamizi? Utatoa ushahidi hivyo mahakamani? pathetic!
Kila mtu ana namna ya kutafsiri picha ama mchoro. Mimi ndivyo nilivyoutafsiri huo mchoro. Kama unataka nikatoe ushahidi mahakamani niko tayari.
Au wewe hujui kuwa kunamsemo unaosema; "a picture is worth a thousand words?
 
Ni zamu yake imefika tu, na kwa sasa hakuna aliye salama hata yeye anaye ishi pale Magogoni hayupo salama kwa sababu wananchi wanahasira naye.
Tuombee tanzania yetu, tuache maombezi ya wasiotaka TOBA.
Kumbe kuna zamu??
 
Uongozi wa Clouds Media Group (CMG) unawaomba wananchi wote nafasi ya utulivu wakati tukiendelea kuzifanyia kazi taarifa kamili wapi alipo masoudkipanya Uongozi utaoa majibu ya kina.
Tayari watu wasiojulikana wamemchukua, uchwara utatumaliza watanzania, Lissu alisema akitoka kwetu atakuja kwenu sasa hivi yupo kwa viongozi wa dini na waandishi wa habari
 
Back
Top Bottom