uchochezi is incitement.
Sasa hiyo katuni ni kwa namna gani inafanya incitement?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uchochezi is incitement.
Yangu umekua Mjinga huwa naona kama unakaribia kuolewa, na mchumba humjui.tuache jeshi la polisi wafanye kazi yao kwani kama wamemkamata wameona anameona kuwa anakesi ya kujibu kwa kuzingatia uweledi
Kitafufuliwa siku ya mwisho.Kumbe si uchumi tu mpka fani za watu zinatakiwa kufa.
Ndo huo huo
Ahahahaa...Tanzania Nakupenda
Kila mtu ana namna ya kutafsiri picha ama mchoro. Mimi ndivyo nilivyoutafsiri huo mchoro. Kama unataka nikatoe ushahidi mahakamani niko tayari.Wapi kasema mabo ya silaha za maangamizi? Utatoa ushahidi hivyo mahakamani? pathetic!
Kumbe hajulikani alipo sasa wewe ulipotangaza kuwa amekamatwa na Polisi??Uongozi wa Clouds Media Group (CMG) unawaomba wananchi wote nafasi ya utulivu wakati tukiendelea kuzifanyia kazi taarifa kamili wapi alipo masoudkipanya Uongozi utaoa majibu ya kina.
Kumbe kuna zamu??Ni zamu yake imefika tu, na kwa sasa hakuna aliye salama hata yeye anaye ishi pale Magogoni hayupo salama kwa sababu wananchi wanahasira naye.
Tuombee tanzania yetu, tuache maombezi ya wasiotaka TOBA.
Tayari watu wasiojulikana wamemchukua, uchwara utatumaliza watanzania, Lissu alisema akitoka kwetu atakuja kwenu sasa hivi yupo kwa viongozi wa dini na waandishi wa habariUongozi wa Clouds Media Group (CMG) unawaomba wananchi wote nafasi ya utulivu wakati tukiendelea kuzifanyia kazi taarifa kamili wapi alipo masoudkipanya Uongozi utaoa majibu ya kina.