Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mtu ambaye amekataza Serikali isikosolewe, lakini kila jambo lina mipaka yake. Uandishi wa habari una mipaka yake na kuna namna inayokubalika ya kuwasilisha habari husika. Na ndiyo maana sheria zikawekwa, ili yeyote atakayevuka mipaka husika basi sheria wacha ichukue mkondo wake.Kukosoa serikali ni jambo la kikatiba na huwezi kuiondoa!! Sema nyinyi mngependa watu wamuabudu huyu mtu. Mnasahau hata hesabu ya kura 2015 mlitengeneza kupata percentage. Serikali kukosolewa ni afya
Jibu langu ni straight forwardSwali langu lilikuwa straight forward ambalo lilitokana na tone ya comment yako ya kwanza!
Wanaendeshaje serikali yaoUnaifahamu Nchi inaitwa Brunei [emoji1057] Nenda ukapate habari za uko Sahau kuhusu kodi Uko
Lakini mamlaka zinahangaika na wachora katuni...hii nchi ni ya msibaduh hk kwetu umekatika km mara nne hivi tangu mwaka huu uanze
Duh Hii ndio Imemponza?[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]![]()
Watajibu wamejijua ni wao tu kwa maana nchii hii viumbe hao wamejizoesha kuwa na kiherere sana na kiki sasa mpaka na panya wanaongeaongea.Mahakamani wakiuluzwa ni wapi ameitaja serikali ya Tanzania watajibu nini maana serikali ziko nyingi katika hii dunia na zote zinatoza kodi.
Hamna kesi hapo bali lengo ni kumtisha tu.
Bavicha wachunguzwe
Umemàliza? Maana povu limekutoka sana, halafu unafananisha USA na Uturuki? Ufahamu wako naona umepungua sàna. Nchi zote zinazominya demokrasia ndio zenye sheria kandamizi, mfn: Russia, Uturuki, Irani, Tanzania, Rwànda, Uganda na zingine nyingi tu. Làkini nchi zenye uhuru wa demokrasia mfn: USA, UK, Germàny, Kenya na NK hutaona upumbavu kama huo.Hakuna mtu ambaye amekataza Serikali isikosolewe, lakini kila jambo lina mipaka yake. Uandishi wa habari una mipaka yake na kuna namna inayokubalika ya kuwasilisha habari husika. Na ndiyo maana sheria zikawekwa, ili yeyote atakayevuka mipaka husika basi sheria wacha ichukue mkondo wake.
Kila nchi duniani iliyostaarabika inazo sheria za kushughulikia maswala mbali mbali. Na sheria hizi haziwezi kufanana. Unaweza ukafanya kitu Marekani ikawa ni sawa tu, lakini kitu hicho hicho ukikifanya Uturuki unakamatwa na kushtakiwa. Ndivyo ilivyo ndugu. Kila nchi ina taratibu zake ilizojiwekea.
Anaweza kukamatwa kweli hii serikali imejaa uonevu na ubaguzi