Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya kutoweka mchoraji nguli wa katuni ustadh masoud kipanya hatimaye arudi hewani na kuthibitisha kupitia page yake ya instagram
dc12a77c54671b6973bc03a0b6849a64.jpg
 
kipanya ameandika katika ukurasa wake wa Facebook dakika kumi zilizo pita...
kuwa
anamshukuru mwenyezi MUNGU ila hajasema ilipokuwa.
pia kaongeza kuwa aliesambaza taarifa kasaidia !
 
Duuh kwa hiyo walimteka wakawa wanapima upepo
 
Kwa hiyo ni kweli alikamatwa lakini kelele za Watanzania mitandaoni zimewatisha hawa na kuamua kumuachia. Kama si kelele za Watanzania kuhusu kukamatwa kwake mwili wake ungeokotwa ufukweni baada ya siku chache.

Kweli UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI UDHAIFU.

Poleni kwa usumbufu na asanteni kwa kujali hali za wengine. Niko salama Alhamdulillah. Namshukuru pia aliyesambaza taarifa.
'AMESAIDIA.
 
Poleni kwa usumbufu na asanteni kwa kujali hali za wengine. Niko salama Alhamdulillah. Namshukuru pia aliyesambaza taarifa.
'AMESAIDIA.
Brother kikubwa uko salama.
Mengine ni nyongeza.
Nilishapagawa mzee.
We ni bonge la mzalendo kwangu.
Sijawahi kuona unakosea..... your a great thinker to me.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom