Lamar BlacAmerican
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 974
- 2,305
Baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya kutoweka mchoraji nguli wa katuni ustadh masoud kipanya hatimaye arudi hewani na kuthibitisha kupitia page yake ya instagram
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni kwa usumbufu na asanteni kwa kujali hali za wengine. Niko salama Alhamdulillah. Namshukuru pia aliyesambaza taarifa.
'AMESAIDIA.
Brother kikubwa uko salama.Poleni kwa usumbufu na asanteni kwa kujali hali za wengine. Niko salama Alhamdulillah. Namshukuru pia aliyesambaza taarifa.
'AMESAIDIA.
Kaachiwa naona japo polisi walikanusha kumkamata nafikiri zengwe LA bashite itakuwa limegonga mwamba mapema baada ya kuku kupiga sana mayowe mwewe akaamua akidondoshe kifaranga.