Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Amesaidia nini? je alikua kwenye harakati za kukamatwa baada ya uvumi kutokea akaachiwa?Yeye (Kipanya) asema aliyesambaza taarifa hizi "AMESAIDIA"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesaidia nini? je alikua kwenye harakati za kukamatwa baada ya uvumi kutokea akaachiwa?Yeye (Kipanya) asema aliyesambaza taarifa hizi "AMESAIDIA"
Endelea kuota ukiwa nyuma ya keyboard!!Anayefikiria watanzania ni waoga atatambua siku si nyingi alivyojidanganya. Hakuna jeshi wala vijana walijifunza mbinu za utesaji, ujasusi na silaha watakao ishinda nguvu ya umma na huko ndiko taifa linaposumwa na wajinga
Endelea kuchekelea mauaji , siku yako ikifika usimlaumu mtu .Mungu ibariki Chadema
Rema ndo nani mkuu kama.kuandika tu kunakusumbua sembuse kuchambua [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Hahahaaa rema alishasema wakimalizana na wabunge watakuja kwetu
Rumania na Nicolae Ceaușescu ni sehemu ya ndoto yangu na natambua hamna hata nusu ya resources na na skills walizokuwa nazoEndelea kuota ukiwa nyuma ya keyboard!!
Kwamaana kunakitu kimemtokea!
Namaelezoyote amjaelewa jaman ngojanilambe simii tatunkalaleeHow can this be jamani
Hii yaweza kuwa forced ili ku divert attention.Aongee live na mtu