Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Anayefikiria watanzania ni waoga atatambua siku si nyingi alivyojidanganya. Hakuna jeshi wala vijana walijifunza mbinu za utesaji, ujasusi na silaha watakao ishinda nguvu ya umma na huko ndiko taifa linaposumwa na wajinga
Endelea kuota ukiwa nyuma ya keyboard!!
 
Duuuu aibu tupu sasa hii.. Mpaka mchonga vinyago wanamuogoa Khaaaaaa [emoji16] [emoji15] [emoji23] [emoji2]
 
75ccd715fbadd70a17f4bf21646afd96.jpg
 
Hahahaaa rema alishasema wakimalizana na wabunge watakuja kwetu
Rema ndo nani mkuu kama.kuandika tu kunakusumbua sembuse kuchambua [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Kama kawa kama dawa. Pita ndani ujipatie simu ya kijanja yenye watsap fesibuku na twita kwa garama ya elufu kumi na ine tu. Karibuni sana wateja

Simu zetu ni toleo jipya la mwaka 2018
 
Kama kawa kama dawa. Pita ndani ujipatie simu ya kijanja yenye watsap fesibuku na twita kwa garama ya elufu kumi na ine tu. Karibuni sana wateja

Simu zetu ni toleo jipya la mwaka 2018
 
Kutekana tekana ni uhuni wa kishamba. Kama anaogopa hadi vikatuni, aachie ikulu yetu asiijaze damu na kuitia unajisi kwa mauaji.
[HASHTAG]#MaguKatubuAuUfe[/HASHTAG]
 
Kuandika kwenye akaunti yake haithibitishi kuwa yuko huru au mahali salama.
Kuna uwezekano HACKERS ndio wamepost ili kurudisha hali ya utulivu.
 
Back
Top Bottom